Spika Ndugai: Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri"
 
View attachment 2061968
to me naona kama akili zinaanza kumrudia Ndugai, ngoja tumpe muda tumsikie kwa lingine
 
Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri"
View attachment 2061968
Mawaziri ni nani, ni wabunge, au sii wabunge, pia nijuavyo kama sheria mbaya kanuni hata kwa miujiza lazima ziwe mbaya. Vinginevyo iwe ni michongo andaliwa .
 
Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri"
View attachment 2061968

..Spika ni mpuuzi sana.

..wakati tuna kambi rasmi ya upinzani Spika alihujumu ofisi ya kiongozi wa upinzani na kuinyima watumishi wa kufanya utafiti na kuandaa taarifa.

..hicho anachokisema kilipaswa kufanywa na kambi rasmi ya upinzani lakini sote tunajua jinsi Ndugai alivyokuwa akiwadhalilisha na kuwahujumu wabunge wa upinzani mwaka 2015 to 2020.
 
Ubovu na udhaifu wa bunge ukopale ambapo mawaziri wanapopeleka sheria mbovu na mambo mabovu wao kama wabunge wanayapitisha hivyohivyo wakati wanajua mambo yaliyopelekwa bungeni ni mabovu wakati wabunge kama wabunge walikuwa nanafasi ya kuyakataa.
 
Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri"
View attachment 2061968
Naona anazeeka vizuri.
#hoja_ijibiwe_kwa_hoja
 
Back
Top Bottom