Spika Ndugai: Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri

Laana ya KUMCHAPA MTU BAKORA MPAKA AKAZIMIA HAITAMWACHA SALAMA
 
Ambao hawakumuelewa CAG nafikiri sasa wawe makini,,, wakati unakuja na majibu mazuri kabisa
 
Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri"
View attachment 2061968
Kukwepa kuwajibika, iambie serekali ilete hizo kanunu Wabunge waziptie,

Lakini sheria ikitungwa ikaacha mianya waziziri anachomrka yakwake
 
Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri"
View attachment 2061968
Aondoke zake pumbaf
 
Back
Top Bottom