figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
to me naona kama akili zinaanza kumrudia Ndugai, ngoja tumpe muda tumsikie kwa lingineSpika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri"
View attachment 2061968
Mawaziri ni nani, ni wabunge, au sii wabunge, pia nijuavyo kama sheria mbaya kanuni hata kwa miujiza lazima ziwe mbaya. Vinginevyo iwe ni michongo andaliwa .Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri"
View attachment 2061968
Hakuna akili kumrudi mtu hapo, issue ni kuwa yapo maslahi ya kundi Fulanito me naona kama akili zinaanza kumrudia Ndugai, ngoja tumpe muda tumsikie kwa lingine
Hiyo itakuwa ya mabibo ya lile shamba letu bila shaka.Mzee kabwia gongo huyu
Hukumbuki anatumia bakora kitaambo kumuwezesha kisonga mbele.Masikini Ndugai. Anasema eti kwa sababu yeye ni Mgogo....hivyo kabisa hiki kibabu
Akili zimerudi au wanaishi kwa mishahara saiv michongo hamna wakipewa ulaji hao ni vinyonga Fasta utawaona na rangi nyingine wapumbavu tuto me naona kama akili zinaanza kumrudia Ndugai, ngoja tumpe muda tumsikie kwa lingine
Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri"
View attachment 2061968
Naona anazeeka vizuri.Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri"
View attachment 2061968