Spika, rais na viongozi wengine wa Iran wanusurika kufa wakiwa kwenye maandamano

Spika, rais na viongozi wengine wa Iran wanusurika kufa wakiwa kwenye maandamano

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Walijikusanya wote pamoja na kuanza kuandamana huku wakilaani Marekani na Israel na kule kubwatuka kwao akbar akbar, ghafla kukalipuka mlipuko wakapoteana.... hawa hawajifunzi kwamba Myahudi ni mtu alianza mavita vita hata kabla hizi dini hazijabuniwa.
Na mnapotishia kumfuta kwenye uso wa dunia atafanya chochote kuwafuta nyie, msichokijua, Israel ina manyuklia na ile siku mtawafikisha mwisho atafuta huo ukanda wote....
=================================

An explosion occurred in the vicinity of a Quds Day rally in Tehran on Friday, Iranian state media reported.

The cause of the explosion is currently unknown.

Photos and footage on social media showed that Iranian President Masoud Pezeshkian and Foreign Minister Abbas Araghchi were in attendance.
Additionally, several prominent political figures were said by state media to be marching in Tehran, including Iran's Supreme National Security Council Secretary Ali Larijani, head of the Atomic Energy Organization Mohammad Eslami, Chief Justice Gholam-Hossein Mohseni-Eje'i, and chief of police Ahmad-Reza Radan.
 
Andikeni taarifa kwa kutulia,
Etu wakiwa wanabwatuka ALLAH AKBARU ALLAH AKBARU 😁😁😁
 
Religiously devout Muslims have spread rumors online that an American F-35 fighter jet has been shot down in Iran, when this is a complete lie.

The author cannot disclose the source of his information something that shows that the information is just a familiar jihadist propaganda we normally see on various social media.

View: https://youtu.be/ebGVQ_uPTTc?si=cSPGViKPir8qV-5k

The Israel army chief has been killed and that he and Shetanyahu are using artificial inteligence to mislead the public.
 
Hawa waarabu wasipo tia akili wataisha hapo Irani. Sijui wanafikiria kutumia nini. Watu wachukue tahadhari hapo, watakwisha.
 
Kwanini msitumie AI kupotosha vifo vya Ayatola na viongozi wengine waandamizi??
Sawa wako hai basi lakini Shetanyahu kawa panya anatoa speech yuko kwenye shimo tena kwa zoom hahaha umeona Iran wanatembea barabarani.

Nakujulisha tu mmezima moto kwenye Carrier ya Geradford hivi iliwaka moto kwa sigara au kwa Missiles za Iran na ile Abraham Lincoln imeisha kuwa out of service wanairudisha USA

Iran wanauhakika Shetanyahu kisha lambishwa mchanga na wanadai Israel anatumia artificial intelligence kudai yulo hai

View: https://youtube.com/shorts/6fEIZBAd5As?si=v5s1l5uSt0FKjKHg
 
Nimecheka hapo mnamuita shetanyahu, ila huyu jamaa kweli ni kiboko yenu, halafu hivi ndivyo historia ya Wayahudi imekua tangu, yaani kila mara wanapofikia kufutwa kwenye uso wa dunia, Mungu huwapa mtawala anawaokoa, hata kipindi cha akina Samson, Daudi n.k.
Raundi hii ni Netanyahu ndiye Samson wao wa kisasa, kuna kipindi walikua wafutwe na "mungu Baal" ila Mungu akatumia Samson kuwaokoa, kipindi hili walikua wafutwe na "mungu" wenu 'Allah', ila Mungu akaleta Netanyahu akawaokoa, miungu yote imeshindwa na Jehova Mungu wa Israel.
 
Back
Top Bottom