Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #21
Ubongo wako umejaa kinyesiUjinga na utoto kama huu ndio umefanya Sendeka kuaibiaka na kufuta kauli baada ya Spika kusema anaweza wataka wote walete ushahidi..
Huyu Mpina nae ni hao hao wapumbavu,anaweza thibitisha madai yake kwamba Makamba JR kachelewesha Bwawa?
Kwamba Mpina hajui.kwamba hadi Kalemani anaondoka kwenye Wizara Bwawa lilikuwa limechelewa?
Watu kama Hawa wapotoshaji haifai hata kuwapa airtime.kwa.sababu mburula wengi wasio na akili z kiudadisi huwa wanaamini tuu.
Si bora wangu kuliko wako uliojaa usahaUbongo wako umejaa kinyesi
Kwani kuunda tume na kujua tatizo kuna tatizo gani. Kama tulidanganywa si tutajua. Alafu kama hoja ni nzuri au ina mashiko, basi haijalishi kama inatoka sukuma gang, pwani gang, chadema au ccm. Ifanyiwe kazi.Wasukuma kubalini matokeo, muda wenu umekwisha baada ya kifo cha Dikteta wa Chato. Hilo bwawa lilianza kujengwa bila mipango mahususi ikiwa ni pamoja na vyanzo vya fedha. Uchelewashaji hausababishwi na Januari.
Hata kama Mwendazake na Kalemani wangekuwapo still hiyo JNHEP dam ingekuwa bado. Mwendazake alitanguliza UWONGO kwenye kila jambo ili kuwa fool wajinga kama Luhaga Mpina kuwa yeye ni mchapakazi
Tafuta ahadi za huo mradi kabla ya januari kuwa waziri..utajuaNov 2021 ilikuwa zoezi la kujaza maji lianze ila January akazingua.
Matatizo yanajulikana,time ya niniKwani kuunda tume na kujua tatizo kuna tatizo gani. Kama tulidanganywa si tutajua. Alafu kama hoja ni nzuri au ina mashiko, basi haijalishi kama inatoka sukuma gang, pwani gang, chadema au ccm. Ifanyiwe kazi.
Spika hawezi kukubali yeye ni kivuli tu, spika yuko IkuluLuhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.
Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?
[emoji116]Mpina aikomalia Wizara ya Nishati
Tuache kuishi maisha ya Jana , Kama ametoa hoja yenye maslahi aungwe mkono,Mnafiki tu huyo Mpina, mbona kipindi cha magu alikaa kimya wakati uhayawani unafanyika?
Sasa unamgeuza spika hamnazo kamati nzima ya bunge ilienda na kuleta repoti bungeni sasa aunde kamati nyingine ya niniLuhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.
Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?
[emoji116]Mpina aikomalia Wizara ya Nishati
Mbona aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji Arusha amepandishwa kizimbani
Tuache kuishi maisha ya Jana , Kama ametoa hoja yenye maslahi aungwe mkono,
Acha siasa za kuangalia watu zitakutesa,
Angalia hoja Ina uzito gani
Kinyesi + makalio makubwa=?Si bora wangu kuliko wako uliojaa usaha
Najua bado una machungu ya 2020.Wamempandisha kufanya maigizo, kama alisaidia kunajisi uchaguzi 2020 hakuna lolote la kumfanya.
Pumba hiiSintokaa niunge mkono yoyote aliyeshiriki kunajisi demokrasia ya nchi hii chini ya dhalimu. Haijalishi atakuja na hoja yenye ubora kiasi gani.
Haya hajakubali sasa. Atafanya nini?Spika akikubali hakuna wa kupinga
We unajuaje hajakubali. Acha ujingaHaya hajakubali sasa. Atafanya nini?
Mbona unalazimisha? Speaker akikubali huwa anatangaza na wajumbe wa tune huteuliwa.We unajuaje hajakubali. Acha ujinga
Chawa wa dhalim vs chawa wa Samia ha ha ha haaaaKinyesi + makalio makubwa=?
Una bichwa kubwa la uvimbe wa mausahaKinyesi + makalio makubwa=?
We sukuma gang hujakoma tu kumuandama January Makamba?Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.
Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?
👇
Mpina aikomalia Wizara ya Nishati