Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Ubongo wako umejaa kinyesiUjinga na utoto kama huu ndio umefanya Sendeka kuaibiaka na kufuta kauli baada ya Spika kusema anaweza wataka wote walete ushahidi..
Huyu Mpina nae ni hao hao wapumbavu,anaweza thibitisha madai yake kwamba Makamba JR kachelewesha Bwawa?
Kwamba Mpina hajui.kwamba hadi Kalemani anaondoka kwenye Wizara Bwawa lilikuwa limechelewa?
Watu kama Hawa wapotoshaji haifai hata kuwapa airtime.kwa.sababu mburula wengi wasio na akili z kiudadisi huwa wanaamini tuu.