Spika sikiliza ushauri wa Mpina, iundwe tume kuchunguza kwa nini January Makamba amechelewesha mradi wa JNHP. Pia mizengwe ya bei ya mbolea

Spika sikiliza ushauri wa Mpina, iundwe tume kuchunguza kwa nini January Makamba amechelewesha mradi wa JNHP. Pia mizengwe ya bei ya mbolea

Ujinga na utoto kama huu ndio umefanya Sendeka kuaibiaka na kufuta kauli baada ya Spika kusema anaweza wataka wote walete ushahidi..

Huyu Mpina nae ni hao hao wapumbavu,anaweza thibitisha madai yake kwamba Makamba JR kachelewesha Bwawa?

Kwamba Mpina hajui.kwamba hadi Kalemani anaondoka kwenye Wizara Bwawa lilikuwa limechelewa?

Watu kama Hawa wapotoshaji haifai hata kuwapa airtime.kwa.sababu mburula wengi wasio na akili z kiudadisi huwa wanaamini tuu.
Ubongo wako umejaa kinyesi
 
Mtu atuambie

1. Bwawa lilianza lini?
2. Lilipangwa kujengwa kwa muda gani?
3. Mpaka 17 March 2021 lilikuwa limefikia hatua gani?
4. Mpaka 20 June 2022 lilikuwa limefikia hatua gani?

Tukipata hizi data tutajua namna bora ya ku-deal na hili jambo
 
Wasukuma kubalini matokeo, muda wenu umekwisha baada ya kifo cha Dikteta wa Chato. Hilo bwawa lilianza kujengwa bila mipango mahususi ikiwa ni pamoja na vyanzo vya fedha. Uchelewashaji hausababishwi na Januari.

Hata kama Mwendazake na Kalemani wangekuwapo still hiyo JNHEP dam ingekuwa bado. Mwendazake alitanguliza UWONGO kwenye kila jambo ili kuwa fool wajinga kama Luhaga Mpina kuwa yeye ni mchapakazi
Kwani kuunda tume na kujua tatizo kuna tatizo gani. Kama tulidanganywa si tutajua. Alafu kama hoja ni nzuri au ina mashiko, basi haijalishi kama inatoka sukuma gang, pwani gang, chadema au ccm. Ifanyiwe kazi.
 
Matatizo yanajulikana,time ya nini
 
Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.

Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?

[emoji116]Mpina aikomalia Wizara ya Nishati
Spika hawezi kukubali yeye ni kivuli tu, spika yuko Ikulu
 
Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.

Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?

[emoji116]Mpina aikomalia Wizara ya Nishati
Sasa unamgeuza spika hamnazo kamati nzima ya bunge ilienda na kuleta repoti bungeni sasa aunde kamati nyingine ya nini
 
Tuache kuishi maisha ya Jana , Kama ametoa hoja yenye maslahi aungwe mkono,
Acha siasa za kuangalia watu zitakutesa,
Angalia hoja Ina uzito gani

Sintokaa niunge mkono yoyote aliyeshiriki kunajisi demokrasia ya nchi hii chini ya dhalimu. Haijalishi atakuja na hoja yenye ubora kiasi gani.
 
We unajuaje hajakubali. Acha ujinga
Mbona unalazimisha? Speaker akikubali huwa anatangaza na wajumbe wa tune huteuliwa.
Hajakubali bado ndio kimya. Lakin spika hafanyi maamuz mwenyewe.. baraka zabikulu lazima ziwapo otherwise hiyo hoja imeishia hapo.
 
Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.

Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?

👇
Mpina aikomalia Wizara ya Nishati
We sukuma gang hujakoma tu kumuandama January Makamba?
 
Back
Top Bottom