Spika Tulia Ackson azuia Mjadala wa Sakata la Bandari Bungeni, asema Bunge lilishatoa maamuzi

Huyu mtoto wa kike , ajiandae kutana na mapigo 47, ni swala la mda asema Bwana, na ikifika asijea tokea yeyote tamka eti tumwombe, atakae dhububu , mkono wa bwana atakutana nao, asema Bwana
 
Huyu mwananke sijuwi kama huwa anakijuwa anachokizungumza, eti msomi wa hali ya juu. Unafiki ni kazi ngum sana, na ukiwakuta msikitini au makanisani wapo viti vye mbele wakiitaka Mbingu..,
 
Simu umenunua lini
 
sio kwa utashi wake,anatekeleza maelekezo toka magogoni, period.
 
Njiti anajidanganya, ukweli sakata hili limeivua nguo serikali,CCM na bunge lao la mchongo ila hawataki kuchutama tu. Hii janja janja anayotumia njiti hampati mtu. Limewadodea hili na hizi ni dalili za nyani kutema bungo. Shetani hawezi kumshinda Mungu kamwe.
 
Mjinga wewe kwani mkataba wa bandari unalinganisha na wa Williamson! Kama muislamu ni mjinga kama wewe atapingwa tu!
Williamson hawajawahi lipa chochote tz tangu wazaliwe,wanadai hawajawahi PATA faida
 
Sijaelewa hii maana yake nini
 
Bila kujadil unawezaje, kuufuta au kuusitisha huo mkataba.
 
Yale waliyo yapitisha yalikuwa matakwa yao wa bunge na sio matakwa ya wananchi .Nakama tujuavyo viongozi wengi wana kusumba ya kutokukubali kwamba wamekosea kwa kuogopa kuonekana kwamba ni dhaifu.
 
Yani sura sio ya binadamu ....sura mjusi kafiri au kinyonga
 
Hako kamwanamke kabaya na lenye figure kama jini sikapendi na nakachukia kuliko hata shetani
 
Mjinga wewe kwani mkataba wa bandari unalinganisha na wa Williamson! Kama muislamu ni mjinga kama wewe atapingwa tu!

Dp world atatia nanga upende usipende, waarabu watatia nanga upende usipende

Muhimu Mkataba uwe wa haki, pande zote mbili wasiumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…