4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Huyu mtoto wa kike , ajiandae kutana na mapigo 47, ni swala la mda asema Bwana, na ikifika asijea tokea yeyote tamka eti tumwombe, atakae dhububu , mkono wa bwana atakutana nao, asema BwanaSpika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.
Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.