PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo kwenye watoto hapo!!

Ndio maana mi ntaoa Hadi mwisho wa maisha yangu ni kuzaa TU aiseh!!

Usiwe mwaminifu Kwa Hawa viumbe ukija kugundua kwamba ulipigwa utajiona mjinga sana!!

Ngoja niende nyumbani nikaoe tena!
Ni pigs kubwa sana
 
Nikiwaangalia wale covid 19,wakati mwingine huwa nasita kuwalaumu, jamani wangspi hawajawahi kucheza mbinu chafu kupata pesa,? Kitaa kugumu, Wacha wapige pesa, maana kila mbongo, ni tapeli kwa njia moja au nyingine
 
Acha umbeya. ahadi zake angetimizaje wakati msimamizi mkuu wa rasilimali za Serikali (Magufuli) aliaapa kutopeleka fedha katika jimbo lolote la upinzani. pili hayo mambo ya watoto wa watu ndani ya familia ni umbeya
 
Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Kuna mbunge ama Uzi umeletewa humu unaongea mmoja analia
 
Salumu Mwalimu kumbe jamaa ni sniper mzuri πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£
 
Mtu ugombee uyole alafu umhakikishie mtu kupita Tarime, Tarime na uyole vitu viwili tofauti kabisa labda kama amelewa madaraka kutaka kupangia wakurya Cha kufanyaπŸ˜ƒ
 
Mtu ugombee uyole alafu umhakikishie mtu kupita Tarime, Tarime na uyole vitu viwili tofauti kabisa labda kama amelewa madaraka kutaka kupangia wakurya Cha kufanyaπŸ˜ƒ
Yeye ni mjumbe wa Kamati Kuu pia ni spika wa mabunge duniani. Ana ushawishi
 
Hapo kwenye bold πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani watoto hawana chogo?
 
Huyu ESTER mume wake si HALIMA MDEE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…