PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ana ushawishi kwa wananchi wa Tarime?, atawashawishi vitu Gani mnyakyusa yule Hadi wakurya wamuelewe
Watakata wengine majina wamlete peke yake na vile uchaguzi hakuna basi anapita
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Haya ndo mambo tunasema , reforms muhimu, Tulia anamhakikishia mtu Ubunge yeye ndo mpiga kura wa jimbo husika? MAMBO GANI YA HAIBU HAYA,
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Watu wa Tarime mnamtaka nani mwingine zaidi ya Esther Matiko
 
Sidhani kama atafanya hivyo maana ameisha jitangaza kuwa ni mwanachama mtarajiwa wa CCM. Hatapata nafasi Chaumma.

Amandla...
Sio kupata nafasi Chaumma. Bali anaangalia ni jinsi gani anaweza pata cheo aendelee kula kiulaini
 
Watu wa Tarime mnamtaka nani mwingine zaidi ya Esther Matiko
Esther Matiko alikuwepo na zaidi ya maneno hakutimiza ahadi zake.

Sisi tunamtaka Mbunge aliyepo aendelee au kama sio yeye basi tumpate kijana shupavu aliyeshinda kura za maoni mwaka 2020 yaani Jackson Ryoba Kangoye.

Huyu anafaa sana.
 
Esther Matiko aende Tarime Vijijini huku Mjini sidhani kama anaweza kushinda. Pia ni kumchonganisha na Michael Kembaki ambae ni CCM damu.
 
Back
Top Bottom