PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani hujui CHAUMMA NI project ya veggies?
Wewe wasema. Lakini si ajabu maana kuna watu wanaamini kuwa vyama vyote vya upinzani ( isipokuwa Chadema) ni sehemu ya CCM. Na hata ndani ya Chadema, mtu yeyote akitofautiana na uongozi uliopo amelambishwa asali na CCM.

Amandla...
 
Esther Matiko aende Tarime Vijijini huku Mjini sidhani kama anaweza kushinda. Pia ni kumchonganisha na Michael Kembaki ambae ni CCM damu.
Ni kweli Esther Matiko kwao ni Tarime vijijini kule wanakolima bangi.

Aende huko kwao. Ndio maana ni mvuta bangi mzuri.

Kiufupi hana sifa baada ya kuwa ni msaliti na mtu wa maslahi binafsi kuliko utu.
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.

Duh. Kumbe Salum Mwalim naye ni meingi....!!?
 
Ni kweli Esther Matiko kwao ni Tarime vijijini kule wanakolima bangi.

Aende huko kwao. Ndio maana ni mvuta bangi mzuri.

Kiufupi hana sifa baada ya kuwa ni msaliti na mtu wa maslahi binafsi kuliko utu.
Utu mbele ya 400m?
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
kuhusu tabia zake binafsi sizijui lakini namhusudi sana mbunge huyu jinsi anavyochangia bungeni
 
Matiko hoyeee.... Matiko safiiii!! Mitano tena kwake
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
This time Jiwe is not exist
 
"Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim"!!!

wamama wanasiasa wanachapwa sana, waume zao nawahurumia.
Akichunguza vizuri hata huyo wa tatu atakua sio wakwake.
 
Esther ni mwanamke malaya malaya.

Aliolewa na kijana mwenzake.

Baadae akakutana na babu mwenye pesa akawa mchepuko.

Mke wa babu kagundua kamsanua na mume wa Esther.

Ndoa ya Esther ikavunjika na ya babu ikavunjika.

Ndipo Esther na babu wakaamua kuoana.

Baadae katika harakati za Chadema akakutana na Salum Mwalim akiwa mtangazaji.

Hadi sasa Salum Mwalim ni Ben 10 wa Esther, kapangiwa nyumba upande kinondoni na tayari wana watoto wawili wasio na vichogo.
Watu mnadata zaidi ya deni la taifa
 
Back
Top Bottom