Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Tarime mjini hakuna lolote la maana kwahiyo tulieni mchakato uanzeMama yetu amestaafu. Ngoja ale mafao
Tarime mjini hakuna lolote la maana kwahiyo tulieni mchakato uanzeMama yetu amestaafu. Ngoja ale mafao
Unamaanisha nini kusema hakuna lolote la maana?Tarime mjini hakuna lolote la maana kwahiyo tulieni mchakato uanze
Duuu..hatari sana kwa afya ya inchi..spika ndio anamuhakikishia ubungo..naakati wapiga kula ni wananchi. Wao ndio wanatakiwa wampeee kula na uwakika wa yeye kuwa mbungeSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.
Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Ana roho mbaya huyo BetinaTilia ni spika wa hovyo kabisa kuwai kutokea duniani
Hakuna uwajibikaji tena. Ni wao wanaopangana tu.Duuu..hatari sana kwa afya ya inchi..spika ndio anamuhakikishia ubungo..naakati wapiga kula ni wananchi. Wao ndio wanatakiwa wampeee kula na uwakika wa yeye kuwa mbunge
Kula yetu haina maana tena. Wanapanga watu wao. Inchi ya mfalme JuhaHakuna uwajibikaji tena. Ni wao wanaopangana tu.
Daaaah brother! wewe utakuwa muandishivwa udaka bila shaka unajua kupamba story.Esther ni mwanamke malaya malaya.
Aliolewa na kijana mwenzake.
Baadae akakutana na babu mwenye pesa akawa mchepuko.
Mke wa babu kagundua kamsanua na mume wa Esther.
Ndoa ya Esther ikavunjika na ya babu ikavunjika.
Ndipo Esther na babu wakaamua kuoana.
Baadae katika harakati za Chadema akakutana na Salum Mwalim akiwa mtangazaji.
Hadi sasa Salum Mwalim ni Ben 10 wa Esther, kapangiwa nyumba upande kinondoni na tayari wana watoto wawili wasio na vichogo.
kwa tume hii ya ccm ni wao ndio wanaamua; ndio mana NrneSi wananchi ndio wahakikishe ubunge?
Ukweli sio udaku jombaaaDaaaah brother! wewe utakuwa muandishivwa udaka bila shaka unajua kupamba story.
Sahihi kabisa. Atayepita ndio mgombeakwa tume ya ccm ni wao ndio wanaamua; ndio mana Nrne
Ndio maana wanasema anameza LukuHuyu ni malaya sana
Hili mbona lipo waziNdio maana wanasema anameza Luku
Kuna wanachadema waliohama siku za nyuma Esther aliwaambia njaa ndio zimewapeleka huko.Hili mbona lipo wazi
Tupe hiyo clipSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.
Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Jamani mweeee. Salimu huyu huyu wa Chauma UbwabwaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.