PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Kwahiyo wenye uhitaji wa Matiko ni Tulia na siyo wananchi, hivi huyu Tulia ana akili sawasawa kweli?
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Aaaaaaah Mwita. W, acha majungu na wivu
 
Sema inaonekana huu uzi umeanzishwa na mpinzani au mfauasi wa mpinzani wa huyo dada.
 
Pia bro kuna haja ya kuwa makini mh Matiko akipita huku jukwaani akaona huu uzi anaweza kukuchukulia hatua za kisheria kwa kumkashifu yeye na familia yake.
Anakaribishwa kuchukua hatua. Ila kwa kuwa anajua tabia zake chafu hana la kufanya. Maana hakuna uongo hapa. Zaidi atajianika yeye na uchafu wake.
 
Siamini! Kwa uzuri gani alionao hadi waheshimiwa wote hao 50 wamkimbilie kiasi hicho?!
Halafu hao wabunge watakuwa hawaoni wivu wala kinyaa kuchangia mwanamke mmoja ?!
Tafuta mbunge yeyote muulize. Hadi Mbowe alifumaniwa nae. Kiufupi she is very cheap kutoa mzigo
 
Esther Matiko alikuwepo na zaidi ya maneno hakutimiza ahadi zake.

Sisi tunamtaka Mbunge aliyepo aendelee au kama sio yeye basi tumpate kijana shupavu aliyeshinda kura za maoni mwaka 2020 yaani Jackson Ryoba Kangoye.

Huyu anafaa sana.
Tutawarudishia Mama Kabaka
 
Back
Top Bottom