Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Usipopiga kwa katiba hii mbovu hata wakipiga watu 4 wanatosha kumchagua Rais wa nchiKupiga kura ni kupoteza muda tu
Na nguvu zako
Ova
Ataelekeza hii tume fake imtangazeAna ushawishi kwa wananchi wa Tarime?, atawashawishi vitu Gani mnyakyusa yule Hadi wakurya wamuelewe
Ukizaliwa mwanaume una hatari ya kulikaribia kaburi haraka zaidi.Ila kuzaliwa mwanaume ni mateso.
🤣🤣🤣Esther akishavuta bangi na kunywa Konyagi anatoa shoo bila kinga.
Ni mgawaji mzuri, hana choyo
Alafu wanakuambia hawajui covid 19 waliingiaje bungeniHadi sasa Salum Mwalim ni Ben 10 wa Esther, kapangiwa nyumba upande kinondoni na tayari wana watoto wawili wasio na vichogo
Hivi wanaijua CCM hawa? Wamuulize Lipumba na Mbatia 2020CCM hawezi kuwaachia hata dak 1
Wanajua sana. Ni vile wanajitoa ufahamu.Alafu wanakuambia hawajui covid 19 waliingiaje bungeni
Esther Bulaya ndio mke wa Mzee Halima Mdee.Huyu ESTER mume wake si HALIMA MDEE?
Hata Kigaila alibanwa akaishia kusema mambo ya siasa ni tofauti na mambo ya familia huku wakila posho na mishahara ya mbunge ya mke wake.Alafu wanakuambia hawajui covid 19 waliingiaje bungeni
Wamehakikishiwa kuwa katika majina matatu lazima watarudiHivi wanaijua CCM hawa? Wamuulize Lipumba na Mbatia 2020
IslamKwa dini gani?
Si unajua vichwa vya wapemba ni flat screenHapo kwenye bold 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Watakata wengine majina wamlete peke yake na vile uchaguzi hakuna basi anapitaAna ushawishi kwa wananchi wa Tarime?, atawashawishi vitu Gani mnyakyusa yule Hadi wakurya wamuelewe
Haya ndo mambo tunasema , reforms muhimu, Tulia anamhakikishia mtu Ubunge yeye ndo mpiga kura wa jimbo husika? MAMBO GANI YA HAIBU HAYA,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.
Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Watu wa Tarime mnamtaka nani mwingine zaidi ya Esther MatikoSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.
Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Sidhani kama atafanya hivyo maana ameisha jitangaza kuwa ni mwanachama mtarajiwa wa CCM. Hatapata nafasi Chaumma.Si mbaya aje CHAUMMA tutampitisha bila kupingwa
Sio kupata nafasi Chaumma. Bali anaangalia ni jinsi gani anaweza pata cheo aendelee kula kiulainiSidhani kama atafanya hivyo maana ameisha jitangaza kuwa ni mwanachama mtarajiwa wa CCM. Hatapata nafasi Chaumma.
Amandla...
Esther Matiko alikuwepo na zaidi ya maneno hakutimiza ahadi zake.Watu wa Tarime mnamtaka nani mwingine zaidi ya Esther Matiko
Sahihi kabisa. Ndio maana covid 19 wote wanapambana sana kupata hizo nafasi maana wanajua wakipitishwa tu basi ni wabungeUsipopiga kwa katiba hii mbovu hata wakipiga watu 4 wanatosha kumchagua Rais wa nchi