PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Duuu..hatari sana kwa afya ya inchi..spika ndio anamuhakikishia ubungo..naakati wapiga kula ni wananchi. Wao ndio wanatakiwa wampeee kula na uwakika wa yeye kuwa mbunge
 
Daaaah brother! wewe utakuwa muandishivwa udaka bila shaka unajua kupamba story.
 
Tupe hiyo clip
 
Jamani mweeee. Salimu huyu huyu wa Chauma Ubwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…