Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Kama unashabikia chadema au unamchukis huwezi kuona majibu.ila alitoa jibu kamili
 
Chukuwachakomapema hawana lolote!
Bongo hawafuati sheria bila shuruti! Wanatumia vyombo vya ulinzi na usalama na vya taifa kujinufaisha madarakani! Wakienda duniani ndipo utagunduwa udhaifu wao! Tusishangae! Eti doctor?!
Mbura! Doctor labda wa kuiba kura, kuhonga na kuuza maliasili na rasilimali za nchi tu!
 
Acha siasa za chuki Dkt Tulia amejibu vzr hadi mabwana zenu weupe wakampigia makofi,badilikeni!!
 
Na bado yule mjinga ataendelea kutujazia taka taka zake hapa.
 
YEye ndiye mwanamke pekee, na yeye ndiye mweusi pekee.

kulia lia ndio kinga yao, kutafuta huruma, anaonewa.
 
Msomi gani anaropoka na kukoromea watu kama mjinga, hiyo siyo hulka ya msomi
Anayeropoka huwa na sababu za kwanini, wazungu baadhi wana zile akili za kutaka kumshushia heshima kiongozi wanayemuona ni mweusi. Inabidi uwajue vizuri haswa malengo yao ni yapi ambayo hawayaonyeshi hadharani.
 
Hakuna mzungu aliyemshushia heshima ameulizwa maswali magumu alitakiwa kujibu alichoulizwa, haya ndio yale mambo ya kwenda bungeni mtu akiwa amegombana na mpenzi wake usiku wehu wake na mtu wake anaupeleka bungeni
 
Hakuna swali gumu, hayo ni maswali ya mtego ambayo hata Marehemu Mandela aliwahi kuulizwa alipokuwa Marekani alipofanya ziara ya kwanza baada ya kutoka jela mwaka 1990.

Aliulizwa ni kwanini SA inao ukaribu na Libya ya Ghaddafi ambayo ina sifa kimataifa, akamjibu mwandishi kwamba adui wa SA hawezi kuwa kwa asilimia 100 ni adui wa Marekani.

Kwa kifupi yapo maswali ya aina hiyo kutoka kwa wazungu, yanakuwa ni ya mtego pia yanakuwa na lengo la kumdhalilisha mtu mweusi anayeulizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…