Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Tulia yuko sahihi. Amewatuliza na kuwakata ngebe watulie na wamheshimu. Wewe unaleta mada upo huku huwezi kujua anakutana na mangapi akiwa kule mpaka ameamua kuwatolea uvivu. Huwa simkubali tulia lakini katika hili namuunga mkono. Wanamuuliza maswali ambayo ameshayajibu pia aliwasoma akawajua mawazo yao ndio maana akawapa za uso.

Swali ni kwani wao wanasemaje? Naona kama sisi watz ndo tunalivalia njuga sana swala hilo wakati wenye jambo lao wapo kimya. Ugomvi wetu wa ndani tusiupeleke nje.
Kama alikuwa anajibu kwa staili ya mipadho hapo sawa
 
Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.

Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.

Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau. Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau. Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina. Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.

Hivi walimchaguaje huyo kilaza kuwa Rais wao?. Wasirudie Hilo kosa Tena.
 
si kweli gentleman,
unapotosha. Kajibu maswali ya wabunge wenye mihemko sana kwa ufasaha mno na ameongea kimamlaka na kuwaambia ukweli wabunge kwamba wasifikiri alikotoka bado wako chini ya wakoloni na hahitaji ruhusa kutembelea Ukraine wala Russian kwa mapenzi bali ni utaratibu na wajibu wa bunge hilo kufanya hivyo kote ulimwenguni 🐒
Pia muuliza swali aliuliza swali katika namna ya kukera sana. Hakuuliza kidiplomasia. Tulia nae akaamua kulala naye mbele. Yule Spika ni jembe.
 
Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.

Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.

Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau. Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau. Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina. Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Alibidi awe at least "diplomatic"; lakini kaja na hasira! Anajibu kama anavyolijibu bunge la bongo haaaaaaaaaa!
Anafikiri kule wanafuata uchawa na kupendeleana; huko ni merit tu; naona hata waliompigia kura wanaona sasa kumbe walichagua garasa
 
Wazungu wakijuq unahizo mentality watakuwa wanakujaza kila wanapokuona ili upoteze mwelekeo.
Kikubwa ni kujibu hoja na kutoa mwelekeo sio kujitetea na kuhisi watu hawakuheshimu.
Nilimuelewa ila kama na wewe nakuelewamo.
 
Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.

Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.

Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.

Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.

Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.

Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Kichwa chako kimejaa mchanga,
 
Kichwa chako kimejaa mchanga,
Yaani ni bora usingejibu kabisa. Unatakiwa ujibu hoja kwa hoja ukishaona umeanza kutoa kashfa kwenye mijadala maana yake ni kuwa huna hoja hivyo ni bora unyamaze.
 
Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.

Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.

Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.

Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.

Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.

Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Jiangalie kwenye kioo, wewe una roho ya kichawi, hata kama unachuki na mtu mambo mengine yaache yapite kama hujapendezewa nayo.
 
Pia muuliza swali aliuliza swali katika namna ya kukera sana. Hakuuliza kidiplomasia. Tulia nae akaamua kulala naye mbele. Yule Spika ni jembe.
na alimjibu kwa kumlipua kama alivyo uliza kwa ufasaha na kimamlaka kweli kweli, hadi wabunge wengine wakatishika na kuingiwa baridi kabisa 🤣
 
Back
Top Bottom