Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Kama alikuwa anajibu kwa staili ya mipadho hapo sawa
 

Hivi walimchaguaje huyo kilaza kuwa Rais wao?. Wasirudie Hilo kosa Tena.
 
Mleta uzi uko kwenye siku zako? Ungekuwa unajua kiingereza vizuri ungeelewa jinsi muuliza swali alivyouliza swali katika namna ya kukera mno. Eti ulijisikiaje kwenda kushikana mkono na gaidi la vita Putin? Ni swali la kukera sana. Angeulizwa Mbowe angejibu "Bro sumu haionjwi"...
 
Pia muuliza swali aliuliza swali katika namna ya kukera sana. Hakuuliza kidiplomasia. Tulia nae akaamua kulala naye mbele. Yule Spika ni jembe.
 
Alibidi awe at least "diplomatic"; lakini kaja na hasira! Anajibu kama anavyolijibu bunge la bongo haaaaaaaaaa!
Anafikiri kule wanafuata uchawa na kupendeleana; huko ni merit tu; naona hata waliompigia kura wanaona sasa kumbe walichagua garasa
 
Wazungu wakijuq unahizo mentality watakuwa wanakujaza kila wanapokuona ili upoteze mwelekeo.
Kikubwa ni kujibu hoja na kutoa mwelekeo sio kujitetea na kuhisi watu hawakuheshimu.
Nilimuelewa ila kama na wewe nakuelewamo.
 
Kichwa chako kimejaa mchanga,
 
Kichwa chako kimejaa mchanga,
Yaani ni bora usingejibu kabisa. Unatakiwa ujibu hoja kwa hoja ukishaona umeanza kutoa kashfa kwenye mijadala maana yake ni kuwa huna hoja hivyo ni bora unyamaze.
 
Jiangalie kwenye kioo, wewe una roho ya kichawi, hata kama unachuki na mtu mambo mengine yaache yapite kama hujapendezewa nayo.
 
Pia muuliza swali aliuliza swali katika namna ya kukera sana. Hakuuliza kidiplomasia. Tulia nae akaamua kulala naye mbele. Yule Spika ni jembe.
na alimjibu kwa kumlipua kama alivyo uliza kwa ufasaha na kimamlaka kweli kweli, hadi wabunge wengine wakatishika na kuingiwa baridi kabisa 🤣
 
Alitaka kusema Mpina Toka nje, akastuka!
lakini muuliza swali mwenye mihemko sana wa Ukraine, alipigwa majibu ya maana kama tena sahihi kama alivyo uliza,

halafu akajawa baridi na mihemko zaidi na ikabidi akusanye kilicho chake na kutokomea kusikojulikana wenzie wakumkodolea macho tu 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…