Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Inferiority inamsumbua
 
Anatakiwa aeleze baada ya kutoka Russia alifanya nini kuhusu Ukraine ? Maana Ukraine walikua wako NATO kuomba silaha je baada ya Rais kutokuepo wasaidizi wao pia hawakuepo?
 
Anatakiwa aeleze baada ya kutoka Russia alifanya nini kuhusu Ukraine ? Maana Ukraine walikua wako NATO kuomba silaha je baada ya Rais kutokuepo wasaidizi wao pia hawakuepo?
Ni swali gumu sana kwa wasomi wa Tz wanaolala na kuamka tu ofsini.
 
Kwa hito kuulizwa tu kwanini alienda Urusi badala ya UKrain akakosa majibu?
Hakuna majibu pale , na ni wazi alikosea na ilionekana wazi alichagua upande , kwenye vita kiingereza chenyewe cha tukuyu hata haeleweki
 
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Lingekuwa lile bunge lake wauliza maswali wangeikwa kamato ya maadili kuhojiwa😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…