Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Yeye ndiyo anaongoza nchi sahivi hakuna namna tuvumilieHuyo mwanaume aliye sogeza vitu mezani ni Abdul, Wengi hawajamtambua.
Alikwenda huko kufanya nini? Yeye kama nani?
Dr Tulia angekuwa ni mwanasiasa wa viwango vidogo asingepigiwa kura na IPU, sio shughuli ndogo kuongoza taasisi ya wabunge wa dunia nzima.Hivi vitu ndio viliondoa ufahamu wa watanzania, sasa hivi mtu akiongea ukweli tu lazima upindishwe kwenda kwenye siasa za vyama, meritocracy imekufa kabisa kwa sasa yani hata mtu akibofoa kwa kuwa tu ni wa chama chako lazima usifie, dunia inatazama content na akili sio magwanda ya vyama vya bongo! Haya yatunze upatie chakula kijiko kiite kijiko sio spade
Bunge liliharibiwa na hayati JPM aliyetaka wana CCM wajae mle ndani.Mkuu huyo ajuza ameharibu sn bunge
Alafu haogopi anatokeza mbele ya camera, nchi inachezewa hiiYeye ndiyo anaongoza nchi sahivi hakuna namna tuvumilie
Dr Tulia angekuwa ni mwanasiasa wa viwango vidogo asingepigiwa kura na IPU, sio shughuli ndogo kuongoza taasisi ya wabunge wa dunia nzima.
Wapo wanaosema anaongoza bunge letu ambalo limejaa wajinga wengi, vipi huko IPU na penyewe pamejaa wajinga?.
hakupani, hakutikisika wala hakutishika na ghadhabu za kiwango cha juu sana cha mbunge muuliza swali wa Ukraine, bali alimjibu kwa ufasaha sana na kwa weledi wa kiwango cha juu mno cha mtu mwenye mamlaka ya juu duniani..Kama kiongozi hakupaswa kupanini na kuingiaa vitu vya hisia zake alipaswa kujibu polightly angeeleweka tu hakupaswa kufanya reaction kias hicho na kujihisi unyonge
Content yake ingekuwa ndogo asingewaongoza hao watu, tupunguze kujiona hatuwezi, tupunguze kuwa inferior kimataifa.Kupigiwa kura sio issue mkuu, tunaongelea content za speech yake!
Kwani mzee wa jalalani aliposema kaleta dawa za covid toka Madagasta hakuwa na viwango vya jalalani? Hata Tulia ni zao la jalalani na ni mwalimu wao pia
Mkuu ambaye hukumwelewa ni wewe mwenye upeo mdogo, wazungu walimwelewa na wakaufyata.Kapanic sana mama palikua hakuna haja ya kuanza kupayuka ohoo mara you should treat me with dignity,Kwan kuuliziwa mashwali ndo kunaonyesha wamekudharau? Kwan angejibu vizur na kuwaumbua Kwa majib mazur si angeonekana yupo vzur?? Sasa anaongea as if hataki maswali ,kama vile anataka meza zigongwe na kumsifia muda wote!!
Uwezo wa kufikiri ukikoma basi ndio comments kama hizi.Kama kawaida Chawa wake ushatia timu!
hakupani, hakutikisika wala hakutishika na ghadhabu za kiwango cha juu sana cha mbunge muuliza swali wa Ukraine, bali alimjibu kwa ufasaha sana na kwa weledi wa kiwango cha juu mno cha mtu mwenye mamlaka ya juu duniani..
na ilionyesha kabisa mbunge muuliza swali wa Ukraine, hafahamu kwamba kwenye ratiba za ziara za rais wa IPU Dr Tulia Akson alipaswa kuitembelea Ukraine kisha aende Russia, lakini haikuwezekana kwasababu tarehe husika Rais zelensky na spika wa Ukraine walikua na safari ya Marekani...
Sasa hilo lisingezuia hata kidogo Dr.Tulia kuitembelea Russia 🐒
Content yake ingekuwa ndogo asingewaongoza hao watu, tupunguze kujiona hatuwezi, tupunguze kuwa inferior kimataifa.
Content ya speech ni kujibu hoja za hao waheshimiwa ambazo ukizitazama katikati ya mistari utaiona dharau ya wazungu ya siku zote wanaposhughulika na taasisi inayoongozwa na mwafrika.
Tulia amewasoma kwa mwaka mmoja aliyoongoza hiyo taasisi na kuigundua dharau yao. Content inategemea na maswali yao yapo kivipi.
ndio Dr. tulia kawabwatukia sasa kawaeleza ukweli mpaka wakaingiwa baridi, kwamba alikotoka Dr.Tulia sio kwa mchezo mchezo 🤣Kwani hawakujua kwamba hamko chini ya ukoloni? Hakukua na mantiki yoyote ya kuhusisha ukoloni na alipotoka katika kujibu maswali! Unaulizwa kwa nini ulienda anasema waliandika barua, kuna faida gani anafoka kwamba tuliwajulisha kwa barua, kwa nini hukwenda Ukraine kwanza anajibu Zelensky hakuwepo, nknk hapo swali gani kajibu sasa au uchawa tu unatukereketa labda tupate pia tafsiri ya ras simba
Madam president wa mabunge ya Dunia alipanik na kujibu hoja kwa kuonesha kabisa yeye ni wa kike. alitakiwa kufafanua tu kwamba mwaliko ulitumwa ukraine na Rusia. hata hivyo Ukraine ratiba yao haikuendana na ratiba ya madam Rais wa Mabunge ya dunia. Hivyo, atapanga tena safari nyingine kwa kufanya lojistikoi za pamoja za ratiba na mamlaka za Kiev. KUKTA.Naona wewe ndiyo umepanic.
Sikiliza clips zote na uzielewe.
Kakulupuka tuuuUkiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
ukija na majibu yako mfukoni utapata tabu sana gentleman 🤣Mkuu najua na nakuona moyoni kwako ukiweka uccm pembeni unajua kabisa hajajibu swali aliloulizwa! Umeeleza vizuri kuhusu ratiba, lakini muuliza swali aliuliza kwa nini Russia before Ukraine, then faida gani taasisi ya IPU imepata? Hayo maelezo yako ni kutetea chama tu ila tunafeli sana mitihani kwa kutokuelewa context ya maswali (swali linataka nini ni tatizo sana wa wabongo)
Kwamba sisi hatuoni humo ndani unaona pekee ako? watu wanatekwa anazuia kujadili, kimsingi ni mtu wa hovyo sn hafaiBunge liliharibiwa na hayati JPM aliyetaka wana CCM wajae mle ndani.
Dr Tulia yupo njema sana kwenye uongozi wa bunge kuliko Ndugai, tatizo anaijua sana sheria kiasi cha kuonekana kama vile anawaburuza wabunge wengi wenye uelewa wa kawaida wa masuala ya kibunge.