Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Hivi vitu ndio viliondoa ufahamu wa watanzania, sasa hivi mtu akiongea ukweli tu lazima upindishwe kwenda kwenye siasa za vyama, meritocracy imekufa kabisa kwa sasa yani hata mtu akibofoa kwa kuwa tu ni wa chama chako lazima usifie, dunia inatazama content na akili sio magwanda ya vyama vya bongo! Haya yatunze upatie chakula kijiko kiite kijiko sio spade
Dr Tulia angekuwa ni mwanasiasa wa viwango vidogo asingepigiwa kura na IPU, sio shughuli ndogo kuongoza taasisi ya wabunge wa dunia nzima.

Wapo wanaosema anaongoza bunge letu ambalo limejaa wajinga wengi, vipi huko IPU na penyewe pamejaa wajinga?.
 
Kupigiwa kura sio issue mkuu, tunaongelea content za speech yake!

Kwani mzee wa jalalani aliposema kaleta dawa za covid toka Madagasca hakuwa na viwango vya jalalani? Hata Tulia ni zao la jalalani na ni mwalimu wao pia. Udoktori hata yule mkuu wa mkoa aliyeachishwa kazi akaanza maombi alikuwa nao pia, udoktori bongo ni michongo tu hawana content yoyote ndo maana Kishimba na mwenzake wa geita wanadharau elimu sana sasa
 
Kama kiongozi hakupaswa kupanini na kuingiaa vitu vya hisia zake alipaswa kujibu polightly angeeleweka tu hakupaswa kufanya reaction kias hicho na kujihisi unyonge
hakupani, hakutikisika wala hakutishika na ghadhabu za kiwango cha juu sana cha mbunge muuliza swali wa Ukraine, bali alimjibu kwa ufasaha sana na kwa weledi wa kiwango cha juu mno cha mtu mwenye mamlaka ya juu duniani..

na ilionyesha kabisa mbunge muuliza swali wa Ukraine, hafahamu kwamba kwenye ratiba za ziara za rais wa IPU Dr Tulia Akson alipaswa kuitembelea Ukraine kisha aende Russia, lakini haikuwezekana kwasababu tarehe husika Rais zelensky na spika wa Ukraine walikua na safari ya Marekani...

Sasa hilo lisingezuia hata kidogo Dr.Tulia kuitembelea Russia 🐒
 
Kupigiwa kura sio issue mkuu, tunaongelea content za speech yake!

Kwani mzee wa jalalani aliposema kaleta dawa za covid toka Madagasta hakuwa na viwango vya jalalani? Hata Tulia ni zao la jalalani na ni mwalimu wao pia
Content yake ingekuwa ndogo asingewaongoza hao watu, tupunguze kujiona hatuwezi, tupunguze kuwa inferior kimataifa.

Content ya speech ni kujibu hoja za hao waheshimiwa ambazo ukizitazama katikati ya mistari utaiona dharau ya wazungu ya siku zote wanaposhughulika na taasisi inayoongozwa na mwafrika.

Tulia amewasoma kwa mwaka mmoja aliyoongoza hiyo taasisi na kuigundua dharau yao. Content inategemea na maswali yao yapo kivipi.
 
Kapanic sana mama palikua hakuna haja ya kuanza kupayuka ohoo mara you should treat me with dignity,Kwan kuuliziwa mashwali ndo kunaonyesha wamekudharau? Kwan angejibu vizur na kuwaumbua Kwa majib mazur si angeonekana yupo vzur?? Sasa anaongea as if hataki maswali ,kama vile anataka meza zigongwe na kumsifia muda wote!!
Mkuu ambaye hukumwelewa ni wewe mwenye upeo mdogo, wazungu walimwelewa na wakaufyata.
 
hakupani, hakutikisika wala hakutishika na ghadhabu za kiwango cha juu sana cha mbunge muuliza swali wa Ukraine, bali alimjibu kwa ufasaha sana na kwa weledi wa kiwango cha juu mno cha mtu mwenye mamlaka ya juu duniani..

na ilionyesha kabisa mbunge muuliza swali wa Ukraine, hafahamu kwamba kwenye ratiba za ziara za rais wa IPU Dr Tulia Akson alipaswa kuitembelea Ukraine kisha aende Russia, lakini haikuwezekana kwasababu tarehe husika Rais zelensky na spika wa Ukraine walikua na safari ya Marekani...

Sasa hilo lisingezuia hata kidogo Dr.Tulia kuitembelea Russia 🐒

Mkuu najua na nakuona moyoni kwako ukiweka uccm pembeni unajua kabisa hajajibu swali aliloulizwa! Umeeleza vizuri kuhusu ratiba, lakini muuliza swali aliuliza kwa nini Russia before Ukraine, then faida gani taasisi ya IPU imepata? Hayo maelezo yako ni kutetea chama tu ila tunafeli sana mitihani kwa kutokuelewa context ya maswali (swali linataka nini ni tatizo sana wa wabongo)
 
Content yake ingekuwa ndogo asingewaongoza hao watu, tupunguze kujiona hatuwezi, tupunguze kuwa inferior kimataifa.

Content ya speech ni kujibu hoja za hao waheshimiwa ambazo ukizitazama katikati ya mistari utaiona dharau ya wazungu ya siku zote wanaposhughulika na taasisi inayoongozwa na mwafrika.

Tulia amewasoma kwa mwaka mmoja aliyoongoza hiyo taasisi na kuigundua dharau yao. Content inategemea na maswali yao yapo kivipi.

Hakujibu swali aliloulizwa period!
 
Kwani hawakujua kwamba hamko chini ya ukoloni? Hakukua na mantiki yoyote ya kuhusisha ukoloni na alipotoka katika kujibu maswali! Unaulizwa kwa nini ulienda anasema waliandika barua, kuna faida gani anafoka kwamba tuliwajulisha kwa barua, kwa nini hukwenda Ukraine kwanza anajibu Zelensky hakuwepo, nknk hapo swali gani kajibu sasa au uchawa tu unatukereketa labda tupate pia tafsiri ya ras simba
ndio Dr. tulia kawabwatukia sasa kawaeleza ukweli mpaka wakaingiwa baridi, kwamba alikotoka Dr.Tulia sio kwa mchezo mchezo 🤣

ziara ilikua ni moja tu.
anakwenda Ukraine kwanza na akitoka Ukraine moja kwa moja anatua cremlin Moscow Russia kwa Mzee Putin..

Zelensky alichomjibu rais wa IPU Dr Tulia Akson, ni kwamba tarehe husika hangekuepo Ukraine, ana ziara ya Marekeni.

Sasa ndipo Dr Tulia Akson akaamua kuendelea na ziara ya Moscow kwa Mzee Putin. Kuna ubaya gani Ukraine ikatembelewa hata mwaka ujao baada hali ya vita kutulia?
Maana zelensky hatulii nyumbani kabisaa 🐒
 
Naona wewe ndiyo umepanic.
Sikiliza clips zote na uzielewe.
Madam president wa mabunge ya Dunia alipanik na kujibu hoja kwa kuonesha kabisa yeye ni wa kike. alitakiwa kufafanua tu kwamba mwaliko ulitumwa ukraine na Rusia. hata hivyo Ukraine ratiba yao haikuendana na ratiba ya madam Rais wa Mabunge ya dunia. Hivyo, atapanga tena safari nyingine kwa kufanya lojistikoi za pamoja za ratiba na mamlaka za Kiev. KUKTA.

sasa yeye alianza kujibu hoja huku kile ki nani hii huku chini kakiamsha.
 
Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.

Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.

Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.

Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.

Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.

Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.

Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Kakulupuka tuuu
 
Ni kweli kahemka, na kaonesha inferiority! Ila hilo la kudharaulika lipo. Ukimsikiliza vizuri kaongea points. Japo kupanic ndo kumeharibu,
 
Mkuu najua na nakuona moyoni kwako ukiweka uccm pembeni unajua kabisa hajajibu swali aliloulizwa! Umeeleza vizuri kuhusu ratiba, lakini muuliza swali aliuliza kwa nini Russia before Ukraine, then faida gani taasisi ya IPU imepata? Hayo maelezo yako ni kutetea chama tu ila tunafeli sana mitihani kwa kutokuelewa context ya maswali (swali linataka nini ni tatizo sana wa wabongo)
ukija na majibu yako mfukoni utapata tabu sana gentleman 🤣

Gentleman,
It is very simple.
Ziara ilikua ni ya siku moja tu.
Ilikua ianzie Ukraine na kisha iishie Russia..

Rais Zelensky akadai anakwenda marekani hatakuepo Ukraine kwenye tarehe husika.

Na kutokana na ratiba ngumu na majukumu mengi mazito ya dunia nzima aliyonayo Rais wa IPU Dr Tulia Akson, akaona ni vema aendelee na ratiba ya ziara yake Moscow kwa Mzee Putin. Huko kwa Zelensky kutapangiwa siku nyingine..
Shida iko wap gentleman?

Faida inapatikanaje na Zelensky hatulii nyumbani gentleman?🤣

faida Ni mpaka aitembelee Ukraine pia kujua nini shida alinganishe na zile shida Russian ako nazo, ndipo aje na mapendekezo ya kutafuta Suluhu ya kudumu na kumaliza vita hiyo ya hovyo kabisaa ya wababe hawa wa magharibi...

alifanya hivyo alivyoenda mashariki ya kati na kwingineko duniania.

hivyo ndivyo diplomasia hufanya kazi. Huwezi kutafuta Suluhu ya mgogoro kwa kuskiza upande moja. Tusubiri atakapoitembelea Ukraine ndio unawaza kuuliza faida 🐒
 
Bunge liliharibiwa na hayati JPM aliyetaka wana CCM wajae mle ndani.

Dr Tulia yupo njema sana kwenye uongozi wa bunge kuliko Ndugai, tatizo anaijua sana sheria kiasi cha kuonekana kama vile anawaburuza wabunge wengi wenye uelewa wa kawaida wa masuala ya kibunge.
Kwamba sisi hatuoni humo ndani unaona pekee ako? watu wanatekwa anazuia kujadili, kimsingi ni mtu wa hovyo sn hafai
 
Back
Top Bottom