Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.

Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.

Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.

Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.

Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Ndg hapa simtetei mfanyabiashara, ila ebu tuliweke upande wako, gari linafanya kazi na ni gari la biashara ambapo kila siku kama ni zima likiwa halina ubovu linaingiza fedha, Swali ni Je!

Ni sawa siku ambayo wabunge hawana ratiba gari lisiingize fedha kisa limekodiwa na wabunge huku likiwa limeondolewa kwenye mfumo wa kuingiza fedha?
 
Shida kuna watu walikaa kimya kipindi Cha Magufuli na kumsifia lakini Cha ajabu Sasa hivi na wao wameibuka kuunga katiba mpya. Ni Jambo zuri lakini tuwahoji kwanini Sasa?

Na sio kipindi Cha Magufuli?

Uenda Samia ana maadui ndani ya CCM.
Ni Mungu ndiye anataka tuwe na katiba mpya Sasa.
 
shida kuna watu walikaa kimya kipindi Cha magufuli na kumsifia lakini Cha ajabu Sasa hivi na wao wameibuka kuunga katiba mpya.ni Jambo zuri lakini tuwahoji kwanini Sasa? Na sio kipindi Cha magufuli?
Uenda Samia ana maadui ndani ya ccm.
Wameelewa umuhimu wa katiba mpya.

Unajua Mkuu kwenye jamii kuna watu tofauti tofauti.

wanacheleea kuelewa mambo
 
Back
Top Bottom