VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Kahoji kwa maslahi ya taifa, jibu hoja yake acha ujingaNdio raha ya uwazi na ukweli.Isijekuwa una biashara ya mabasi umekosa yenda sasa unajifanya kuhoji.
Katiba mpya inahusikaje na hili?
Naunga mkono hoja.We tafuta ugali wako tu Haijalishi Unapataje. Ukiwaza Hawa Wanasiasa Utashangaa unazeeka Kwa Kuwalaumu tu na Wao watoto wao Wanafaidi wako
Umeshakata tamaa🤣Kwani Ndugu hujui hiki ni Kipindi Gani Katika Serikali Hii ya Awamu ya Sita. We tafuta ugali wako tu Haijalishi Unapataje. Ukiwaza Hawa Wanasiasa Utashangaa unazeeka Kwa Kuwalaumu tu na Wao watoto wao Wanafaidi wako wanalia
Hahahahaha Hapana sema hutakiwi Kushangaa Sana Maana Wameshakuwekea Mziki Wao wanaocheza sasa Wao wanacheza AMIPIANO wewe unataka Zilipendwa. [emoji23] na Wewe Cheza AMAPIANO utakayempata Kucheza Naye hakikisha Umemshika Kiuno Unakiendesha Kweli kweliumeshakata tamaa[emoji1787]
Ni Mungu ndiye anataka tuwe na katiba mpya Sasa.hyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha magufuli
Ndg hapa simtetei mfanyabiashara, ila ebu tuliweke upande wako, gari linafanya kazi na ni gari la biashara ambapo kila siku kama ni zima likiwa halina ubovu linaingiza fedha, Swali ni Je!Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ni Mungu ndiye anataka tuwe na katiba mpya Sasa.
Nimekuelewa sana Mzee Tupa tupaKatiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mungu ameona ni muda mwafakaNi Mungu ndiye anataka tuwe na katiba mpya Sasa.
Wameelewa umuhimu wa katiba mpya.shida kuna watu walikaa kimya kipindi Cha magufuli na kumsifia lakini Cha ajabu Sasa hivi na wao wameibuka kuunga katiba mpya.ni Jambo zuri lakini tuwahoji kwanini Sasa? Na sio kipindi Cha magufuli?
Uenda Samia ana maadui ndani ya ccm.