Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa?
Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma?
Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu kimya kimya bila kuwapiga picha kwa style hii.
Picha hii ya huyu bibi anampigia Tulia magoti kumshukuru, ina-speak volumes about hii misaada ya wanasiasa.
Kama lengo la kupiga hizi picha na kuziweka mtandaoni ni kutoa hamasa kwa watu wengine kutoa misada, this is a wrong approach.
Nobody atakuwa motivated kuwa na roho ya utoaji kisa tu kaona hii picha kutoka kwa Tulia.