Spika Tulia kwanini asiwasaidie watanzania kimya kimya kama ana nia njema? Picha alizopigwa huyu bibi kumshukuru Tulia zinafikirisha

Umaskini mbaya sana ndugu zangu. Cheki bibi wa wa watu anavyodhalilika kisa vipeto vingapi sijui vya chakula.

Eeh Mungu utuinue na sisi wapambanaji wengine.
Kabisa mkuu! Nimeona huruma sana, mtu unawezaje kukubali kupigiwa magoti na mtu mwenye umri wa mama yako tena katika tukio la kutoa msaada tu?
 
Wakuu,

Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa?

Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma?

Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu kimya kimya bila kuwapiga picha kwa style hii.

Picha hii ya huyu bibi anampigia Tulia magoti kumshukuru, ina-speak volumes about hii misaada ya wanasiasa.

Kama lengo la kupiga hizi picha na kuziweka mtandaoni ni kutoa hamasa kwa watu wengine kutoa misada, this is a wrong approach.

Nobody atakuwa motivated kuwa na roho ya utoaji kisa tu kaona hii picha kutoka kwa Tulia.

View attachment 3195207
Mkuu labda nikuulize,hivi kuna mwanasiasa ashawahi saidia kimya kimya?
 
Wakuu,

Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa?

Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma?

Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu kimya kimya bila kuwapiga picha kwa style hii.

Picha hii ya huyu bibi anampigia Tulia magoti kumshukuru, ina-speak volumes about hii misaada ya wanasiasa.

Kama lengo la kupiga hizi picha na kuziweka mtandaoni ni kutoa hamasa kwa watu wengine kutoa misada, this is a wrong approach.

Nobody atakuwa motivated kuwa na roho ya utoaji kisa tu kaona hii picha kutoka kwa Tulia.

View attachment 3195207
Anawezaje kuiweka kwenye official page ya taasisi yake picha hiyo?
 
Kuelekea October 2025 tutashuhudia kila aina ya kituko.
 
Umaskini mbaya sana ndugu zangu. Cheki bibi wa wa watu anavyodhalilika kisa vipeto vingapi sijui vya chakula.

Eeh Mungu utuinue na sisi wapambanaji wengine.
kushukuru kwa kupiga magoti siyo kujidhalilisha .ni utamaduni wa makabila mbali mbali.kama kwenu wanawake na wake zenu wanashukuru huku wamesimama kama mti ni sawa maana ndiyo utamaduni na malezi huko kwenu familia,kata na kijiji
 
sijajua Mwandishi anatoka wapi but ntakwambia maneno mawili tu.

. Huu ni mwaka 2025
. Tulia ni Mwanasiasa.
PERIOD
 
Back
Top Bottom