Kabisa mkuu! Nimeona huruma sana, mtu unawezaje kukubali kupigiwa magoti na mtu mwenye umri wa mama yako tena katika tukio la kutoa msaada tu?Umaskini mbaya sana ndugu zangu. Cheki bibi wa wa watu anavyodhalilika kisa vipeto vingapi sijui vya chakula.
Eeh Mungu utuinue na sisi wapambanaji wengine.
Mkuu labda nikuulize,hivi kuna mwanasiasa ashawahi saidia kimya kimya?Wakuu,
Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa?
Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma?
Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu kimya kimya bila kuwapiga picha kwa style hii.
Picha hii ya huyu bibi anampigia Tulia magoti kumshukuru, ina-speak volumes about hii misaada ya wanasiasa.
Kama lengo la kupiga hizi picha na kuziweka mtandaoni ni kutoa hamasa kwa watu wengine kutoa misada, this is a wrong approach.
Nobody atakuwa motivated kuwa na roho ya utoaji kisa tu kaona hii picha kutoka kwa Tulia.
View attachment 3195207
Kosa lake nini hapo?TULIA
Anawezaje kuiweka kwenye official page ya taasisi yake picha hiyo?Wakuu,
Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa?
Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma?
Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu kimya kimya bila kuwapiga picha kwa style hii.
Picha hii ya huyu bibi anampigia Tulia magoti kumshukuru, ina-speak volumes about hii misaada ya wanasiasa.
Kama lengo la kupiga hizi picha na kuziweka mtandaoni ni kutoa hamasa kwa watu wengine kutoa misada, this is a wrong approach.
Nobody atakuwa motivated kuwa na roho ya utoaji kisa tu kaona hii picha kutoka kwa Tulia.
View attachment 3195207
Hapo ukatili upo wapi?Hakuna katili anayeweza kutoa msaada
kushukuru kwa kupiga magoti siyo kujidhalilisha .ni utamaduni wa makabila mbali mbali.kama kwenu wanawake na wake zenu wanashukuru huku wamesimama kama mti ni sawa maana ndiyo utamaduni na malezi huko kwenu familia,kata na kijijiUmaskini mbaya sana ndugu zangu. Cheki bibi wa wa watu anavyodhalilika kisa vipeto vingapi sijui vya chakula.