Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hivi chuo kinaweza kunyang'anya PhD yake kinapoona kiliyemtunukia anaidhalilisha?Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
Huyu chaawa hata huwa haeleweki ukiachia mbali kutofikiri. Nasikita ni doktari tena wa sheria. Ni aibu kuwa na kiumbe kama huyu kwenye muhimili wa dola.Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
Mbunge siyo mtumishi wa umma,bali muwakilishiSpika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
Hii nchi kuna kitu kitakua hakipo sawa---- hii mishahara kwanini wanaificha?Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
Wabunge ni kupe wa hili taifaMillion 18 kwa mwezi mtu mmoja
Jamani wapumzisheni watumishi wa umma, mnawatia hasira sana na hayo maneno yenu ya kuwafananisha na wabunge. Mnapoongelea maslahi ya mbunge msimhusishe mtumishi wa umma anayetoka na shs laki Tano kwa mwezi wakati laki tano hiyo mbunge ni posho ya siku Moja.Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
Hakufaa kuwa spika alifaa kuwa mchawi.Yupo sawa posho milioni 15 kwa mwezi na mshahara milioni 3.8 kwa mwezi, yaani hii nchi hii.
Pesa inachezewa sana aiseeYupo sawa posho milioni 15 kwa mwezi na mshahara milioni 3.8 kwa mwezi, yaani hii nchi hii.
Hako kasura mweee!Cheusi Mangala. Halafu nyie ndio mnamfanya anakuwa mkali
Mnampa bad names 😛