peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Ana umri Gani?
I hâte ugly woman:::::: they are always agressive and rightHako kasura mweee!
Akili matopeSpika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
Sheria za wizi, jukumu la kuhudumia jimbo libaki kwa serikali siyo mbungeKwa sasa wanalipwa kama watumishi wa Umma japo Wana majukumu makubwa kuhudumia Jimbo na Taifa kwa ujumla. Omni letu walipa kodi nikiwa wabunge waongezewe maslahi
Betina buana....mtumishi wa umma gani anachukua milioni 18 kwa mwezi?Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
Muwakilishi TU wa mi 5 tuMbunge siyo mtumishi wa umma,bali muwakilishi
Ukiwa CCM akili zinakuwa hazina kazi.Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
Kigwangala hana phd, yule ni daktari wa bonadam by professionalHalafu watu wanam-mind Trump,mi sioni tatizo kama tusi ni la kweli,nadhani kuna laana ya asili.Kigwangwala naye na PhD yake aliwahi sema huduma za afya Tanzania ni bora kuliko Marekani.