NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
watatumikia Bunge mpaka huu muhula uishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani bunge likae lipitie kama katiba ya Chadema ilifuatwa?hizi akili hizi?Msiwe mnakurupuka.
Bunge ni taasisi haliwezi kufanya kazi bila taarifa rasmi kimaandishi.
Hivyo hadi barua iwafikie na wao waichambue na kuangalia vifungu vya shwria vya kusimamia na kupitia katiba ya cdm.
Ndipo watakuja kutangaza rasmi bungeni.
Na akina mdee hadi sasa bado ni wabunge japo ni fake hadi hapo spika atakapotangaza rasmi na kukabidhiwa barua zao za kusimamishwa ubunge.
Walipokelewa kwa barua na watafukuzwa kwa mujibu wa sheria kimaandishi pia.
Spika hajachelewa na wao hawajakosea kwenda bungeni.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Upende usipende.Yaani bunge likae lipitie kama katiba ya Chadema ilifuatwa?hizi akili hizi?
Wakati lowasa,Membe,Sofia Simba wanafukuzwa kwenye ccm,bunge lilikaa kupitia katiba ya ccm?
"What is good for the gander should be good for the goose"
Katibu mkuu, ameujulisha uma kuwa hii ni mara ya pili kwa barua rasmi kutumiwa Spika.Spika atasema kwamba hajapata barua rasmi kutoka chadema inayo mtaarifu kwamba wamefukuzwa uanachama.
Wabunge hawa wamefukuzwa uanachama na CHADEMA, na si KWAMBA Spika amewafukuza ubunge hapana. Naamini OFISI ya Spika nayo inao UTARTIBU wake ambao inabidi sasa ufuatwe. CHADEMA BARUA yao irmeshafika wamwachie sasa Spika naye afanye kazi yake kwa kufuata utaratibu; hata kidogo hawezi kukiuka kile AMBACHO CHADEMA wameamuaLeo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.
Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
View attachment 2222528