Spika tulia na wakina Mdee bado wanatuchezea

Yaani bunge likae lipitie kama katiba ya Chadema ilifuatwa?hizi akili hizi?
Wakati lowasa,Membe,Sofia Simba wanafukuzwa kwenye ccm,bunge lilikaa kupitia katiba ya ccm?
"What is good for the gander should be good for the goose"
 
Yaani bunge likae lipitie kama katiba ya Chadema ilifuatwa?hizi akili hizi?
Wakati lowasa,Membe,Sofia Simba wanafukuzwa kwenye ccm,bunge lilikaa kupitia katiba ya ccm?
"What is good for the gander should be good for the goose"
Upende usipende.
Hata barua na Mnyika ataambatanisha na muhtsari wa kikao na jinsi walivyoongozwa na katiba ya chama.

Tuachage kupinga kila kitu kama hujui acha ubishi ni shamba.
Taasisi zinafanya kazi kwa marejeo na sio taarifa peke yake.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Siamnini kama mioyo yao ina amani zaidi ya hayo matabasamu ya uongo usoni mwao.

Wanajua wanatakiwa kukaa kwa adabu huko bungeni wasiropoke, hii itawafanya wasiwe hata na uwezo na uhuru wa 100% kuchangia mijadala, matokeo yake watakuwa wasindikizaji tu.

Siku wakipayuka tu, watatolewa maneno ya kashfa na hao wanaowalea sasa hivi ndio watajua kumbe walikuwa wamekalia tambara bovu.
 
Spika atasema kwamba hajapata barua rasmi kutoka chadema inayo mtaarifu kwamba wamefukuzwa uanachama.
Katibu mkuu, ameujulisha uma kuwa hii ni mara ya pili kwa barua rasmi kutumiwa Spika.
==
 
Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.

Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?

View attachment 2222528
Wabunge hawa wamefukuzwa uanachama na CHADEMA, na si KWAMBA Spika amewafukuza ubunge hapana. Naamini OFISI ya Spika nayo inao UTARTIBU wake ambao inabidi sasa ufuatwe. CHADEMA BARUA yao irmeshafika wamwachie sasa Spika naye afanye kazi yake kwa kufuata utaratibu; hata kidogo hawezi kukiuka kile AMBACHO CHADEMA wameamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…