Hii si hotuba ya kuikosa,kuna wabunge watapata nafasi ya kujua kama wanastahili kuendelea kugombea au wajiunge na sisi huku uraiani...Wakuu,
Akiwa bungeni leo, Spika Tulia ametangaza kwamba siku ya kesho Rais Samia ataenda kuhutubia na kulifunga rasmi Bunge la 12
Atahytubia ila hatolivunja, tuko hapaNdyo maana nikawaulza kuwa aliyewapa watu taarifa kuwa bunge hadi mwezi wa nane ni nani?
Tusiwe kama simba inajazwa kiburi na waandishi machawa lakn hakuna kitu!
Shughuli inaanzaTukutane msimu ujao.
Wananchi wa huko sasa 😄Morogoro Vijijini msimrudishe Babu Tale.