Spika Tulia: Rais Samia atahutubia Bunge kesho Tarehe 27 June 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Akiwa bungeni leo, Spika Tulia ametangaza kwamba siku ya kesho Rais Samia ataenda kuhutubia na kulifunga rasmi Bunge la 12

Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu,

Akiwa bungeni leo, Spika Tulia ametangaza kwamba siku ya kesho Rais Samia ataenda kuhutubia na kulifunga rasmi Bunge la 12

Hii si hotuba ya kuikosa,kuna wabunge watapata nafasi ya kujua kama wanastahili kuendelea kugombea au wajiunge na sisi huku uraiani...
 
Ndyo maana nikawaulza kuwa aliyewapa watu taarifa kuwa bunge hadi mwezi wa nane ni nani?
Tusiwe kama simba inajazwa kiburi na waandishi machawa lakn hakuna kitu!
 
Akishamaliza kulivunja bunge, huku nje tuanze kuwauliza maswali wanaelewaje kuhusu kutekwa wananchi na kupoteza?, wengine hawapatikani na wengine wanapatika a wamefariki...na wengine wanapatikana wameteswa. Watujibu wakiwa nje ya bunge, tuone Wana majibu Gani tofauti na Yale ya kushinikizwa wawapo bungeni
 
Kasahau kusema Bunge la Viti maalum.

Bunge la Rais wa ccm.
 
Ndyo maana nikawaulza kuwa aliyewapa watu taarifa kuwa bunge hadi mwezi wa nane ni nani?
Tusiwe kama simba inajazwa kiburi na waandishi machawa lakn hakuna kitu!
Atahytubia ila hatolivunja, tuko hapa
 
Morogoro Vijijini msimrudishe Babu Tale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…