Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko

Naomba kuuliza ila si kwa ubaya

Hivi muonekano wa mtu ina reflect na tabia yake?
 
Alikuwa sahihi kuhusu utekaji wa awamu ya 5. Tatizo naye kaamua sasa kuwa mtekaji wa awamu ya tano!
 

Wabongo uchawi utawamaliza. Halafu nyie ni namba 5 duniani kwa kuwa wacha Mungu.
 
Alikuwa sahihi kuhusu utekaji wa awamu ya 5. Tatizo naye kaamua sasa kuwa mtekaji wa awamu ya tano!
No, awamu 5 haikuwa na utekaji. Yanayoendelea hara sasa Dkt Samia hahusiki kabisa. Sema ni ile unagombana na jirani unamtamkia utaniona halafu mchawi kasikia anamuua jirani yako kwa sababu wanajamii walisikia ukimtishia basi wanasema ohh kamuua, ndiyo muuaji, so ndicho kilichotokea kwa mh. Lisu. So now kuna vyombo vya habari vinalipwa kuripoti kila kitu na kukihusisha serikali etc
 
Wamejiwekea kinga wasishitakiwe kwa maovu yao
 
Hivi huyu dada anadhani atakuwa spika hadi lini?
 
sura mbaya, ugliest ever
 
 

Attachments

  • IMG-20240830-WA0025.jpg
    404.8 KB · Views: 3
Lisu kupigwa risasi kwenye maeneo ya bunge, na zile fugisu zote alizifanyiwa na serekali magufuli akawa hajui? Duu ww kweli hamnazo.
 
Sawa
 
Huyu malaya ana roho mbaya kama sura yake ilivyo mbovu , takataka kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…