Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hao ndio utetezi wa waliotekwa na kuuwawa na serekali?Wale kumi waliouawa singida na dom waliuawa na serikali?
Alisingiziwa au ilikuwa kweli.Wakati wa JPM alisingiziwa sana kuhusu utekaji na uuaji. Hamna mbunge aliyenyanyua mdomo kutetea
Alikuwa sahihi kuhusu utekaji wa awamu ya 5. Tatizo naye kaamua sasa kuwa mtekaji wa awamu ya tano!Upotoshaji huu uliasisiwa na serikali awamu ha sita ikiongozwa na Dkt Samia pale aliposhadadia kusema serikali ya awamu ya 5 ilihusika na viroba. Nadhani ni muhimu kuweka rekodi sawa, Dkt Samia ajitokeze tena akemee matukio ya watu kupotea afanye reference mpaka awamu ya 5, lasivyo jamii ni ngumu sana kuamini kuwa serikali haihusiki.
Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola.
Leo Alhamisi, Agosti 29, 2024, hoja hiyo imeibuka bungeni wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu, baada ya Anatropia kusema matukio ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu yanaashiria uvunjifu wa haki za binadamu.
Amesema matukio hayo yamekuwa na sura tofauti tofauti ikiwemo wivu wa mapenzi na ushirikina.“Lakini na matukio mengine ya kutekwa na kupotea kwa watu yanahusishwa na vyombo vya dola. Nataka kufahamu mkakati wa Serikali kuzuia matendo haya lakini kuondoa taharuki ambayo inajitokeza katika jamii,” amesema.
Spika Tulia huku akimtaka Waziri Mkuu kutoa kulisemea jambo hilo kwa udogo sana, amesema "Juzi kama mtakumbuka hapa alisimama Mheshimiwa Aida Kenani, mambo haya yanayohusiana na uchunguzi ukiyasema kwa ujumla kwa haya maneno, utekaji, uaji, leo asubuhi nimesoma kuna mganga amezika sijui watu kumi na ngapi. Sasa huyu Mganga ni Polisi au Vyombo vya Dola ambaye watu wazikwa kwake?"
Ameongeza "Unajua haya mambo yakiwa yanasemwa kwa hisia yanaleta picha fulani hivi. Kwa hiyo kuna mtu mwingine anaweza akawa anahisi labda kuna mtu anaroho mbaya mahali hivi, hajali. Kila mtu anajali kila binadamu ana haki ya kuishi lakini tusiweke yale mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea........kuna watoto si kuna mabasi wanapanda akidondoka chini nyumbani si wanamtafuta? Utasema ni Vyombo vya Dola vimemchukua?"
Ameendelea kusema "Lazima wote tufanye kazi kama viongozi ukichukulia mihemko hautoi nafasi kwa Serikali kufanya kazi yake na wakati huo huo hautoi nafasi kwa jamii kushiriki hili jambo kwani wao watawaza kuna mahali wapo kumbe hawapo sehemu mganga amewazika sehemu. Sisi humu ndani ni Viongozi, tunawakilisha wananchi na tungependa wawe salama. Watu wengine wanahama nchi si tunawapokea hapa, je atasema ni Chombo cha Dola kimewachukua?"
Naye Waziri Mkuu amesema "Tunapoilinda nchi ni wajibu wetu Watanzania wote pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama vyenye jukumu la kupokea taarifa mbalimbali zinazoonesha uvunjifu wa amani popote pale. Na wakishapokea ni kuhskiksha wanafanya uchukuzi na kufikisha kwenye vyombo vya sheria."
Ameongeza "Mheshimiwa Spika nashukuru kwa maneno yako ya msingi ya awali ili kuondoa upotoshaji ambao unaweza kuwa unaendelea na kufanya vyombo vya ulinzi na usalama vishindwe kufanya kazi yake na kuwavunja moyo watu ambao wanafanya kazi saa 24 kwa ajili ya usalama"
No, awamu 5 haikuwa na utekaji. Yanayoendelea hara sasa Dkt Samia hahusiki kabisa. Sema ni ile unagombana na jirani unamtamkia utaniona halafu mchawi kasikia anamuua jirani yako kwa sababu wanajamii walisikia ukimtishia basi wanasema ohh kamuua, ndiyo muuaji, so ndicho kilichotokea kwa mh. Lisu. So now kuna vyombo vya habari vinalipwa kuripoti kila kitu na kukihusisha serikali etcAlikuwa sahihi kuhusu utekaji wa awamu ya 5. Tatizo naye kaamua sasa kuwa mtekaji wa awamu ya tano!
Dah!Kwa hiyo watabaki vikongwe wanagongeana ugoro tu?Haya
Yesu akasema " siku zaja mtasema heri maziwa yasiyonyonyesha na matumbo yasiyozaa"
Naziona hizo Siku kwani Upendo umepoa kabisa 🐼
Wamejiwekea kinga wasishitakiwe kwa maovu yaoNatamani sana siku moja hawa watu wafikishwe kwenye mikono ya haki wawaelezee waTanzania maana ya fikra zao hizi.
Hawa wakitoka madarakani halafu waachwe tu na kuendelea na maisha yao kana kwamba hawakusababisha usumbufu wowote kwa wananchi itakuwa siyo sawa hata kidogo.
Uovu wote anaujua na yeye ni sehemu ya uovuHuyu Supika vipi?
Badala ya kuichia Serikali ijibu yeye anaingilia kati kuilinda tena?
Hivi huyu dada anadhani atakuwa spika hadi lini?Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola.
Leo Alhamisi, Agosti 29, 2024, hoja hiyo imeibuka bungeni wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu, baada ya Anatropia kusema matukio ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu yanaashiria uvunjifu wa haki za binadamu.
Amesema matukio hayo yamekuwa na sura tofauti tofauti ikiwemo wivu wa mapenzi na ushirikina.“Lakini na matukio mengine ya kutekwa na kupotea kwa watu yanahusishwa na vyombo vya dola. Nataka kufahamu mkakati wa Serikali kuzuia matendo haya lakini kuondoa taharuki ambayo inajitokeza katika jamii,” amesema.
Spika Tulia huku akimtaka Waziri Mkuu kutoa kulisemea jambo hilo kwa udogo sana, amesema "Juzi kama mtakumbuka hapa alisimama Mheshimiwa Aida Kenani, mambo haya yanayohusiana na uchunguzi ukiyasema kwa ujumla kwa haya maneno, utekaji, uaji, leo asubuhi nimesoma kuna mganga amezika sijui watu kumi na ngapi. Sasa huyu Mganga ni Polisi au Vyombo vya Dola ambaye watu wazikwa kwake?"
Ameongeza "Unajua haya mambo yakiwa yanasemwa kwa hisia yanaleta picha fulani hivi. Kwa hiyo kuna mtu mwingine anaweza akawa anahisi labda kuna mtu anaroho mbaya mahali hivi, hajali. Kila mtu anajali kila binadamu ana haki ya kuishi lakini tusiweke yale mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea........kuna watoto si kuna mabasi wanapanda akidondoka chini nyumbani si wanamtafuta? Utasema ni Vyombo vya Dola vimemchukua?"
Ameendelea kusema "Lazima wote tufanye kazi kama viongozi ukichukulia mihemko hautoi nafasi kwa Serikali kufanya kazi yake na wakati huo huo hautoi nafasi kwa jamii kushiriki hili jambo kwani wao watawaza kuna mahali wapo kumbe hawapo sehemu mganga amewazika sehemu. Sisi humu ndani ni Viongozi, tunawakilisha wananchi na tungependa wawe salama. Watu wengine wanahama nchi si tunawapokea hapa, je atasema ni Chombo cha Dola kimewachukua?"
Naye Waziri Mkuu amesema "Tunapoilinda nchi ni wajibu wetu Watanzania wote pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama vyenye jukumu la kupokea taarifa mbalimbali zinazoonesha uvunjifu wa amani popote pale. Na wakishapokea ni kuhskiksha wanafanya uchukuzi na kufikisha kwenye vyombo vya sheria."
Ameongeza "Mheshimiwa Spika nashukuru kwa maneno yako ya msingi ya awali ili kuondoa upotoshaji ambao unaweza kuwa unaendelea na kufanya vyombo vya ulinzi na usalama vishindwe kufanya kazi yake na kuwavunja moyo watu ambao wanafanya kazi saa 24 kwa ajili ya usalama"
sura mbaya, ugliest everHoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola.
Leo Alhamisi, Agosti 29, 2024, hoja hiyo imeibuka bungeni wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu, baada ya Anatropia kusema matukio ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu yanaashiria uvunjifu wa haki za binadamu.
Amesema matukio hayo yamekuwa na sura tofauti tofauti ikiwemo wivu wa mapenzi na ushirikina.“Lakini na matukio mengine ya kutekwa na kupotea kwa watu yanahusishwa na vyombo vya dola. Nataka kufahamu mkakati wa Serikali kuzuia matendo haya lakini kuondoa taharuki ambayo inajitokeza katika jamii,” amesema.
Spika Tulia huku akimtaka Waziri Mkuu kutoa kulisemea jambo hilo kwa udogo sana, amesema "Juzi kama mtakumbuka hapa alisimama Mheshimiwa Aida Kenani, mambo haya yanayohusiana na uchunguzi ukiyasema kwa ujumla kwa haya maneno, utekaji, uaji, leo asubuhi nimesoma kuna mganga amezika sijui watu kumi na ngapi. Sasa huyu Mganga ni Polisi au Vyombo vya Dola ambaye watu wazikwa kwake?"
Ameongeza "Unajua haya mambo yakiwa yanasemwa kwa hisia yanaleta picha fulani hivi. Kwa hiyo kuna mtu mwingine anaweza akawa anahisi labda kuna mtu anaroho mbaya mahali hivi, hajali. Kila mtu anajali kila binadamu ana haki ya kuishi lakini tusiweke yale mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea........kuna watoto si kuna mabasi wanapanda akidondoka chini nyumbani si wanamtafuta? Utasema ni Vyombo vya Dola vimemchukua?"
Ameendelea kusema "Lazima wote tufanye kazi kama viongozi ukichukulia mihemko hautoi nafasi kwa Serikali kufanya kazi yake na wakati huo huo hautoi nafasi kwa jamii kushiriki hili jambo kwani wao watawaza kuna mahali wapo kumbe hawapo sehemu mganga amewazika sehemu. Sisi humu ndani ni Viongozi, tunawakilisha wananchi na tungependa wawe salama. Watu wengine wanahama nchi si tunawapokea hapa, je atasema ni Chombo cha Dola kimewachukua?"
Naye Waziri Mkuu amesema "Tunapoilinda nchi ni wajibu wetu Watanzania wote pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama vyenye jukumu la kupokea taarifa mbalimbali zinazoonesha uvunjifu wa amani popote pale. Na wakishapokea ni kuhskiksha wanafanya uchukuzi na kufikisha kwenye vyombo vya sheria."
Ameongeza "Mheshimiwa Spika nashukuru kwa maneno yako ya msingi ya awali ili kuondoa upotoshaji ambao unaweza kuwa unaendelea na kufanya vyombo vya ulinzi na usalama vishindwe kufanya kazi yake na kuwavunja moyo watu ambao wanafanya kazi saa 24 kwa ajili ya usalama"
"Kinga" ya kulinda majambazi. Ni nani anayeweza kutambua kinga ya aina hiyo?Wamejiwekea kinga wasishitakiwe kwa maovu yao

Lisu kupigwa risasi kwenye maeneo ya bunge, na zile fugisu zote alizifanyiwa na serekali magufuli akawa hajui? Duu ww kweli hamnazo.No, awamu 5 haikuwa na utekaji. Yanayoendelea hara sasa Dkt Samia hahusiki kabisa. Sema ni ile unagombana na jirani unamtamkia utaniona halafu mchawi kasikia anamuua jirani yako kwa sababu wanajamii walisikia ukimtishia basi wanasema ohh kamuua, ndiyo muuaji, so ndicho kilichotokea kwa mh. Lisu. So now kuna vyombo vya habari vinalipwa kuripoti kila kitu na kukihusisha serikali etc
Kwani hujui mkuu?"Kinga" ya kulinda majambazi. Ni nani anayeweza kutambua kinga ya aina hiyo?
Kiongozi anakiuka sheria zilizopo, halafu sheria hizo hizo zimpe kinga yeye?
SawaHoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola.