OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni laana kuwa na spika kama huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen, baba mchungaji.Haya
Yesu akasema " siku zaja mtasema heri maziwa yasiyonyonyesha na matumbo yasiyozaa"
Naziona hizo Siku kwani Upendo umepoa kabisa 🐼
Sababu ya ushirikinaHivi huyu alifikaje Kwenye nafasi ya Uspika wa bunge.
Wamefukua makaburini wafu wao wenyeweInteligensia ya polisi na usalama viko Chini na Wana ujuzi mdogo! Haiwezekani watu 10 kupotea Singida na Dodoma na kuwawa bila usalama kushtuka na kuzuia
Upotoshaji huu uliasisiwa na serikali awamu ha sita ikiongozwa na Dkt Samia pale aliposhadadia kusema serikali ya awamu ya 5 ilihusika na viroba. Nadhani ni muhimu kuweka rekodi sawa, Dkt Samia ajitokeze tena akemee matukio ya watu kupotea afanye reference mpaka awamu ya 5, lasivyo jamii ni ngumu sana kuamini kuwa serikali haihusiki.Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola.
Leo Alhamisi, Agosti 29, 2024, hoja hiyo imeibuka bungeni wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu, baada ya Anatropia kusema matukio ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu yanaashiria uvunjifu wa haki za binadamu.
Amesema matukio hayo yamekuwa na sura tofauti tofauti ikiwemo wivu wa mapenzi na ushirikina.“Lakini na matukio mengine ya kutekwa na kupotea kwa watu yanahusishwa na vyombo vya dola. Nataka kufahamu mkakati wa Serikali kuzuia matendo haya lakini kuondoa taharuki ambayo inajitokeza katika jamii,” amesema.
Spika Tulia huku akimtaka Waziri Mkuu kutoa kulisemea jambo hilo kwa udogo sana, amesema "Juzi kama mtakumbuka hapa alisimama Mheshimiwa Aida Kenani, mambo haya yanayohusiana na uchunguzi ukiyasema kwa ujumla kwa haya maneno, utekaji, uaji, leo asubuhi nimesoma kuna mganga amezika sijui watu kumi na ngapi. Sasa huyu Mganga ni Polisi au Vyombo vya Dola ambaye watu wazikwa kwake?"
Ameongeza "Unajua haya mambo yakiwa yanasemwa kwa hisia yanaleta picha fulani hivi. Kwa hiyo kuna mtu mwingine anaweza akawa anahisi labda kuna mtu anaroho mbaya mahali hivi, hajali. Kila mtu anajali kila binadamu ana haki ya kuishi lakini tusiweke yale mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea........kuna watoto si kuna mabasi wanapanda akidondoka chini nyumbani si wanamtafuta? Utasema ni Vyombo vya Dola vimemchukua?"
Ameendelea kusema "Lazima wote tufanye kazi kama viongozi ukichukulia mihemko hautoi nafasi kwa Serikali kufanya kazi yake na wakati huo huo hautoi nafasi kwa jamii kushiriki hili jambo kwani wao watawaza kuna mahali wapo kumbe hawapo sehemu mganga amewazika sehemu. Sisi humu ndani ni Viongozi, tunawakilisha wananchi na tungependa wawe salama. Watu wengine wanahama nchi si tunawapokea hapa, je atasema ni Chombo cha Dola kimewachukua?"
Naye Waziri Mkuu amesema "Tunapoilinda nchi ni wajibu wetu Watanzania wote pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama vyenye jukumu la kupokea taarifa mbalimbali zinazoonesha uvunjifu wa amani popote pale. Na wakishapokea ni kuhskiksha wanafanya uchukuzi na kufikisha kwenye vyombo vya sheria."
Ameongeza "Mheshimiwa Spika nashukuru kwa maneno yako ya msingi ya awali ili kuondoa upotoshaji ambao unaweza kuwa unaendelea na kufanya vyombo vya ulinzi na usalama vishindwe kufanya kazi yake na kuwavunja moyo watu ambao wanafanya kazi saa 24 kwa ajili ya usalama"
🦎Haya
Yesu akasema " siku zaja mtasema heri maziwa yasiyonyonyesha na matumbo yasiyozaa"
Naziona hizo Siku kwani Upendo umepoa kabisa 🐼
Mh Spika kakosea sana kujaribu kupoozesha hoja ya mbunge namsikitia kwa kuwa bado haijatokea kwake au jamaa yake wa karibu.Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola.
Leo Alhamisi, Agosti 29, 2024, hoja hiyo imeibuka bungeni wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu, baada ya Anatropia kusema matukio ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu yanaashiria uvunjifu wa haki za binadamu.
Amesema matukio hayo yamekuwa na sura tofauti tofauti ikiwemo wivu wa mapenzi na ushirikina.“Lakini na matukio mengine ya kutekwa na kupotea kwa watu yanahusishwa na vyombo vya dola. Nataka kufahamu mkakati wa Serikali kuzuia matendo haya lakini kuondoa taharuki ambayo inajitokeza katika jamii,” amesema.
Spika Tulia huku akimtaka Waziri Mkuu kutoa kulisemea jambo hilo kwa udogo sana, amesema "Juzi kama mtakumbuka hapa alisimama Mheshimiwa Aida Kenani, mambo haya yanayohusiana na uchunguzi ukiyasema kwa ujumla kwa haya maneno, utekaji, uaji, leo asubuhi nimesoma kuna mganga amezika sijui watu kumi na ngapi. Sasa huyu Mganga ni Polisi au Vyombo vya Dola ambaye watu wazikwa kwake?"
Ameongeza "Unajua haya mambo yakiwa yanasemwa kwa hisia yanaleta picha fulani hivi. Kwa hiyo kuna mtu mwingine anaweza akawa anahisi labda kuna mtu anaroho mbaya mahali hivi, hajali. Kila mtu anajali kila binadamu ana haki ya kuishi lakini tusiweke yale mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea........kuna watoto si kuna mabasi wanapanda akidondoka chini nyumbani si wanamtafuta? Utasema ni Vyombo vya Dola vimemchukua?"
Ameendelea kusema "Lazima wote tufanye kazi kama viongozi ukichukulia mihemko hautoi nafasi kwa Serikali kufanya kazi yake na wakati huo huo hautoi nafasi kwa jamii kushiriki hili jambo kwani wao watawaza kuna mahali wapo kumbe hawapo sehemu mganga amewazika sehemu. Sisi humu ndani ni Viongozi, tunawakilisha wananchi na tungependa wawe salama. Watu wengine wanahama nchi si tunawapokea hapa, je atasema ni Chombo cha Dola kimewachukua?"
Naye Waziri Mkuu amesema "Tunapoilinda nchi ni wajibu wetu Watanzania wote pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama vyenye jukumu la kupokea taarifa mbalimbali zinazoonesha uvunjifu wa amani popote pale. Na wakishapokea ni kuhskiksha wanafanya uchukuzi na kufikisha kwenye vyombo vya sheria."
Ameongeza "Mheshimiwa Spika nashukuru kwa maneno yako ya msingi ya awali ili kuondoa upotoshaji ambao unaweza kuwa unaendelea na kufanya vyombo vya ulinzi na usalama vishindwe kufanya kazi yake na kuwavunja moyo watu ambao wanafanya kazi saa 24 kwa ajili ya usalama"
Natamani sana siku moja hawa watu wafikishwe kwenye mikono ya haki wawaelezee waTanzania maana ya fikra zao hizi.Ni laana kubwa kwa nchi kuwa na jitu la nama hii, linalotetea maharamia yaliyomo kwenye vyombo vya kulinda usalama lakini yakageuka kuwa maharamua yanayoteka watu wanaokosoa Serikali.
Huyu mtu lazima amebeba roho ya shetani. Watu wametekwa, wamenusurika, wametamka wazi kuwa walitekwa na polisi, wakawekwa kwenye mahabusu za polisi kwa muda, kisha wakahamishiwa kwenye mabanda yaliyopo nyuma ya kituo cha polisi, wakasafirishwa mara Arusha, wakateswa vibaya wakiulizwa eti mtu anayewatuma waikashfu serikali. Halafu jitu moja lililojaa unafiki na ushetani, linataka tuamini kuwa hayo majitu yote yalikuwa ni mganga wa kienyeji!! Tuna bahati mbaya sana, majitu yenye roho za uovu yamepewa mamlaka.
WanMbeya hakikisheni mnajiondoa kuwa sehemu ya jamii iliyochangia kulipatia Taifa majitu yenye roho mbaya.
Wakati wa JPM alisingiziwa sana kuhusu utekaji na uuaji. Hamna mbunge aliyenyanyua mdomo kuteteaNi kweli
Maana tuna shuhudia wengine wanagundulika wameuwawa na wapenzi wao wakati awali watu wakijua wametekwa na vyombo vya usalama