Spika Tulia: Wananchi hukaribishwa kushiriki kutunga sheria

Spika Tulia: Wananchi hukaribishwa kushiriki kutunga sheria

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
1643792411873.png

Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema bunge linapotangaza kupokea muswaada na kuhitaji mawazo ya wananchi, ni muhimu wananachi kutumia fursa hiyo kupeleka mawazo yao.

Amesema hayo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria ambapo amesema mchakato wa utungaji wa sheria hushirikisha watu wote ikiwemo Chama cha Wanasheria (TLS).

Amesema japo wabunge ni wawakilishi wananchi, lakini wananchi pia hukaribishwa kushiriki moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom