Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
Hivi akiulizwa manufaa na mafanikio yake katika Bunge la Tanzania atajibu nini? Najiuliza?!View attachment 2786635
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola.
Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
View attachment 2786635

Hivi akiulizwa manufaa na mafanikio yake katika Bunge la Tanzania atajibu nini? Najiuliza?!
Fresh tuHivi mtu unajisikije unavyoona katika watu 10 watu 8 wanakuchukia?
Aache tamaa, nafasi kubwa hiyo,inahitaji busara na hekima
Unaweza kuta kwa akili zake na chawa wake wanaona wanaweza.Aache tamaa, nafasi kubwa hiyo,inahitaji busara na hekima
Afya yake ya akili ataangukia pua,huko ni akili kubwa tuView attachment 2786635
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola.
Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
Kuna yule Mwanamke kutoka Senegal ambaye kwa sasa ni Vice-president wa Executive committee ya IPU na anagombea.Napenda yule ndiyo awe maana kwao Demokrasia ya kweli ipo na watu wakishindwa wanakubali siyo huyu Tulia aliyewai kusema kuwa CCM haiwezi kuachia Dola.View attachment 2786635