Spika wa Bunge Dkt. Tulia Acksoni, achukua fomu kugombea Urais IPU

Hiyo tisa,kumi kuzuia Bunge kujadili ripoti ya CAG iliyojaa ubadhirifu wa kutisha.Sasa ana rekodi gani ya Bunge lake kuheshimu Utawala bora mpaka achuguliwe kuwa Spika wa Bunge la Dunia!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Uspika umemshinda huko anatafuta nini?
 
Muda bado inabidi tuandike Waraka kabisa tuupeleke uko IPU kuwaeleza kuwa huyo mtu ni hatari kwa ustawi wa Demokrasia!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kule hakuna figisu kama hizi anazotufanyia watanzania. Akichaguliwa huko ni wao wamemchagua sio sisi!
 
Afya yake ya akili ataangukia pua,huko ni akili kubwa tu
Hawajamfahamu alivyo kama sisi tunavyomfahamu,hivyo wanaweza kumchagua. Ila ni hatari kwa matumizi ya binadamu! Wanayoyahubiri mdomoni ni tofauti kabisa na wanayoyatenda.
 
Spika wa bunge chakavu na vichwa chakavu.
 
Ngoja tuzame tweeter ya IPU,tumsagie kunguni
 
Na tena wamezuia raia tusipate vpn bila sababu ........sijui wanataka tuwachungulie wao??maana pilau tutaangalia wapi tena?
 
Hivi hilo ndio bunge Stephen Maselle, aliwahi kuongoza Ndugai akataka kumtoa roho?!
 
Rasmi Spika wa Bunge la Tanzania Dr.Tulia Ackson , Ndie Rais IPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…