Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa Musukuma ni daktari wa falsafa (Kisomo) basi wenyewe waachwe kuitwa madaktari.
Spika Tulia akalitolea ufafanuzi suala hilo, akisema watu wajue kutofautisha, Mb.Musukuma alipewa Udaktari wa heshima tu, kwahiyo Udaktari wake siyo wa kisomo.
Ikumbukwe Mb. Musukuma anafahamika zaidi kwa kuchangia hoja zenye mashiko na vijembe vya kuchekesha bungeni.
Kwa kauli hii spika anaona Udaktari wa heshima si chochote kwenye nyanja ya taaluma.
Kwahiyo Mb. Musukuma hastahili kuwekwa kwenye poti moja na Madaktari wa Kisomo (falsafa).