Spika wa Bunge Dkt. Tulia: Udaktari wa Musukuma siyo wa Kisomo, ni wa Heshima tu

Spika wa Bunge Dkt. Tulia: Udaktari wa Musukuma siyo wa Kisomo, ni wa Heshima tu

Tuwaorodheshe na wengine wenye udaktari usio wa kusomea: ninaanza na Dkt. ANGELINE MABULA.
 
Msukuma ni moja ya wabunge wanaomaliza mabando ya watu wengi sana mitandaoni,analeta raha kumsikiliza na anayoyaongea mengi yana mashiko,kwakweli anastahili huo udaktari.Kongole kwake,hao wasomi kama vipi wajing'atue kwenye hizo nafasi za kisiasa,wabaki akina Msukuma,maana wanayoyaongea yanatugusa sisi wananchi.
Na kwa kweli msukuma ni mmoja ya wabunge wa taifa sio mbunge wa jimbo tu. Bila kumsahau mh Kishimbi. Hawa watu heshima zao ktk jamii ni kubwa kuliko wasomi wengi.
 
Kama ni daktari wa kusomo na haujui kitu inasadia nini kuitwa daktari?
Kama huo usomi hauwezi kuleta badiliko kwenye jamii wewe ni Rubbish kabisa.
Usomi ni kupambanua mambo katika mazingira uliyopo.
Msukuma ni bora . Tena ni mwl wao

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom