Spika wa Bunge Dkt. Tulia: Udaktari wa Musukuma siyo wa Kisomo, ni wa Heshima tu

Spika wa Bunge Dkt. Tulia: Udaktari wa Musukuma siyo wa Kisomo, ni wa Heshima tu

Msukuma ni moja ya wabunge wanaomaliza mabando ya watu wengi sana mitandaoni,analeta raha kumsikiliza na anayoyaongea mengi yana mashiko,kwakweli anastahili huo udaktari.Kongole kwake,hao wasomi kama vipi wajing'atue kwenye hizo nafasi za kisiasa,wabaki akina Msukuma,maana wanayoyaongea yanatugusa sisi wananchi.
 
Musukuma kawapiga KO wasomi leo Bungeni amewahoji kwanini NiDA card isiwe na matumizi mengi kuliko kutembea na ma Korokocho (I'd) kibao.

Sasa wasomi wetu ambao wengi hawana Akili wameamua kutapa tapa.
Nchi gani umeona haina Driving Licence
Haina Kadi za Bima
Haina Kadi za Benki?

Hata huko Marekani Driving Licence yajitegemea
 
Kumbe we ni mwanamke? duh sidhani Kama UKE wako utakuwa salama. Jf wanakataza matusi lakini nakutukana kimoyo moyo @#$&+-%¢€¥¢¥€π√×÷ko
𝙷𝚞𝚢𝚞 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚢𝚞𝚕𝚎 𝚍𝚎𝚖𝚞 𝚠𝚊𝚔𝚞𝚒𝚝𝚠𝚊 𝙴𝚝𝚠𝚎𝚎𝚐𝚎 𝙸𝚍 𝚣𝚊𝚔𝚎 𝚗𝚢𝚒𝚗𝚐𝚒𝚗𝚎 𝚣𝚒𝚖𝚎𝚙𝚒𝚐𝚠𝚊 𝚋𝚊𝚗 𝚢𝚊 𝚖𝚞𝚍𝚊 𝚖𝚗𝚎𝚗𝚎
 
Huyu Spika ni Bingwa wa Kushughulika na matatizo ambayo hayapo; Yaani amegeuka kuwa mtaalamu wa kila jambo wakati angetusaidia kama nchi iwapo angejaribu kufanya kazi yake (kuisimamia na kuishauri serikali) na sio kinachoendelea kuitetea Serikali
 
TCU na vyombo vya elimu walishawahi fafanua hili kuwa u docta wa heshima hutakiwi kuandika mbele ya jina lako Dr
Ila wengi hawaelewi
.Kikwete, Reginald mengi,Getrude Rwakatare nk hawatakiwi majina yao kuandika Dk mbele ya majina yao
Ukiandika mbele ya Jina Dr so and so ulisomea Vyuo.vikuu sio u Doctor wa heshima

Wabunge wapewe seminar U Dr mbele ya jina haupatikani kirahisi
Na ukiandika jina huko nyuma ukiwaja PhD ya heshima inabidi kuandika kuwa PhD ya heshima sio ya kusomea ni ya heshima
 
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa Musukuma ni daktari wa falsafa (Kisomo) basi wenyewe waachwe kuitwa madaktari.

Spika Tulia akalitolea ufafanuzi suala hilo, akisema watu wajue kutofautisha, Mb.Musukuma alipewa Udaktari wa heshima tu, kwahiyo Udaktari wake siyo wa kisomo.

Ikumbukwe Mb. Musukuma anafahamika zaidi kwa kuchangia hoja zenye mashiko na vijembe vya kuchekesha bungeni.

Kwa kauli hii spika anaona Udaktari wa heshima si chochote kwenye nyanja ya taaluma.

Kwahiyo Mb. Musukuma hastahili kuwekwa kwenye poti moja na Madaktari wa Kisomo (falsafa).

View attachment 2269716
Yeye mwenyewe Spika, Tulia Ackson, anasemekana kuwa ana Shahada ya PhD ya sheria, lakini jinsi anavyozitafsiri sheria hizo, hata Mimi ambaye nina elimu ya kuunga unga, namzidi kwa mbali, uelewa huo wa sheria!

Hivi anawezaje kuwaweka Bungeni wabunge ambao siyo wanachama wa chama chochote cha siasa, ambapo ni kinyume cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 71(1)(e)
 
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa Musukuma ni daktari wa falsafa (Kisomo) basi wenyewe waachwe kuitwa madaktari.

Spika Tulia akalitolea ufafanuzi suala hilo, akisema watu wajue kutofautisha, Mb.Musukuma alipewa Udaktari wa heshima tu, kwahiyo Udaktari wake siyo wa kisomo.

Ikumbukwe Mb. Musukuma anafahamika zaidi kwa kuchangia hoja zenye mashiko na vijembe vya kuchekesha bungeni.

Kwa kauli hii spika anaona Udaktari wa heshima si chochote kwenye nyanja ya taaluma.

Kwahiyo Mb. Musukuma hastahili kuwekwa kwenye poti moja na Madaktari wa Kisomo (falsafa).

View attachment 2269716

Sabhanahu wataala
 
Mh spika acha upumbafu Dr msukuma anazo akili na Mali kukuzidi wee Dr wa shule na Sheria uliyoisoma Haina tija kwa jamii na taifa zima
 
Nchi gani umeona haina Driving Licence
Haina Kadi za Bima
Haina Kadi za Benki?

Hata huko Marekani Driving Licence yajitegemea
Mkuu kwani umeona nimesema Mimi au Musukuma ?
Alafu kwani kufanya kitu lazima tuige Nchi nyingine ?
Hata hivo Nchi nyingi zinatumia smart card mfano UAE
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    35.9 KB · Views: 7
Tatizo mavyuo yetu, yanategemea taaruki bure, ingekuwa bora sana kama wanapendezwa nae wangempa zawadi ingine kama fedha, ngao, kikombe cha ushindi, si udaktari, ni kuwadhiaki wasomi!
 
Nchi gani umeona haina Driving Licence
Haina Kadi za Bima
Haina Kadi za Benki?

Hata huko Marekani Driving Licence yajitegemea
download.jpeg

Ni kitu simple Sana hiki hakiitaji kwenda shule, tukiwa na smart card itaondoa vitu Kama cheti Cha kuzaliwa, barua ya mwenyekiti, card ya NHIF na hata Driving license (hoja yako kwamba US Wana driving licence nasi tuwe nazo Ni dhaifu) Ndio maana Nyerere alisema wengine wakipiga Hatua nyie mkimbie
images (5).jpeg
 
Mzee wa Msoga na yeye naona wanamwita Dokta,vipi mwongozo wa Spika haumuhusu🤣🤣
 
View attachment 2270095
Ni kitu simple Sana hiki hakiitaji kwenda shule, tukiwa na smart card itaondoa vitu Kama cheti Cha kuzaliwa, barua ya mwenyekiti, card ya NHIF na hata Driving license (hoja yako kwamba US Wana driving licence nasi tuwe nazo Ni dhaifu) Ndio maana Nyerere alisema wengine wakipiga Hatua nyie mkimbieView attachment 2270098

Ikiangukia kwenye wrong hands umeumia. Someone will have access to a lot of information about you at once!
 
Back
Top Bottom