Msukuma ni moja ya wabunge wanaomaliza mabando ya watu wengi sana mitandaoni,analeta raha kumsikiliza na anayoyaongea mengi yana mashiko,kwakweli anastahili huo udaktari.Kongole kwake,hao wasomi kama vipi wajing'atue kwenye hizo nafasi za kisiasa,wabaki akina Msukuma,maana wanayoyaongea yanatugusa sisi wananchi.