Spika wa Bunge la Afrika kusini amtaja Rais Samia kinara wa Afya ya Mama na Watoto

Spika wa Bunge la Afrika kusini amtaja Rais Samia kinara wa Afya ya Mama na Watoto

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Spika wa Bunge la Afrika Kusini Angela Thokozile Didiza akizungumza katika mkutano maalumu wa ngazi ya juu wa kundi la Afrika la IPU alimtaja na kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara katika kutatua changamoto ya afya kwa wajawazito na watoto.

Spika Didiza alimshukuru Rais Dkt. Samia kwa kufanikisha kufanyika kwa mkutano huo wa pembeni wa kujadili masuala ya afya ya wajawazito na watoto barani Afrika ikiwa sehemu ya Mkutano wa IPU uamuzi ambao umeonesha dhamira yake katika kutatua changamoto hiyo barani Afrika.

 
Back
Top Bottom