Spika wa Bunge la Marekani akataa mwaliko wa Zelensky kutembelea Ukraine

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti.

Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja ya kwenda na badala yake apewe taarifa kwa njia zingine.

Msimamo wa spika huyo ni kwamba anaiunga mkono Ukraine katika vita dhidi ya Urusi ila Warepublican waliochukua madaraka ya bunge hilo mwezi Januari, hawatatoa nafasi kuisaidia Ukraine.

Marekani imeipa Ukraine dola bilioni 32 tangu Urusi ianze uvamizi wake Februari 24,2023 ila baadhi ya viongozi wa Republican wenye siasa kali wamekataa kuitumia Ukraine msaada zaidi.
 
Bunge lililokiwa likiongozwa na Democrats walishaidhinisha $ Billion 45 za nyongeza December 2022. Hizi ni Biden tu anatia saini kwenda Ukraine.
 
SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti.

Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja ya kwenda na badala yake apewe taarifa kwa njia zingine.

Msimamo wa spika huyo ni kwamba anaiunga mkono Ukraine katika vita dhidi ya Urusi ila Warepublican waliochukua madaraka ya bunge hilo mwezi Januari, hawatatoa nafasi kuisaidia Ukraine.

Marekani imeipa Ukraine dola bilioni 32 tangu Urusi ianze uvamizi wake Februari 24,2023 ila baadhi ya viongozi wa Republican wenye siasa kali wamekataa kuitumia Ukraine msaada zaidi.
Lete chanzo cha habari ili tuweze kuchangia mada, habari za sadiki ukipenda hapa usilete nadhan Mod unaweza ondoa huu uchafu hapa
 
Wamarekani hawawezi kula nyasi kamwe, pamoja na hizo pesa zote huko Ukraine bado wanatoa misaada kumjengea bibi yako vyoo, barabara n.k na mikopo, sio Tanzania tu bali duniani kote.
Afghanistan walitumia $ Trillion 2.3 kwa miaka 20 sawa na $million 300 kila siku.
Usihofu kuhusu pesa, wewe sikitikia tu maisha yanayopotea kwa sababu ya homicidal dictator wa Russia.
Hapo anakomolewa mrusi tu[emoji1787] hata wamarekani wale nyasi ili mradi Biden amkomoe Putin.
 
No
Wamarekani hawawezi kula nyasi kamwe, pamoja na hizo pesa zote huko Ukraine bado wanatoa misaada kumjengea bibi yako vyoo, barabara n.k na mikopo, sio Tanzania tu bali duniani kote.
Afghanistan walitumia $ Trillion 2.3 kwa miaka 20 sawa na $million 300 kila siku.
Usihofu kuhusu pesa, wewe sikitikia tu maisha yanayopotea kwa sababu ya homicidal dictator wa Russia.
Noma kweli kweli 😀
 
SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti.

Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja ya kwenda na badala yake apewe taarifa kwa njia zingine.

Msimamo wa spika huyo ni kwamba anaiunga mkono Ukraine katika vita dhidi ya Urusi ila Warepublican waliochukua madaraka ya bunge hilo mwezi Januari, hawatatoa nafasi kuisaidia Ukraine.

Marekani imeipa Ukraine dola bilioni 32 tangu Urusi ianze uvamizi wake Februari 24,2023 ila baadhi ya viongozi wa Republican wenye siasa kali wamekataa kuitumia Ukraine msaada zaidi.
Aine kimsboy
 
Hivi Zelensky bado hafahamu kuwa marekani imeshakuwa joka la kibisa??
 
Marekani inatumia vibaya fedha za walipa kodi, kuisaidia nchi ya watu wasio na tija.
 
Wamarekani hawawezi kula nyasi kamwe, pamoja na hizo pesa zote huko Ukraine bado wanatoa misaada kumjengea bibi yako vyoo, barabara n.k na mikopo, sio Tanzania tu bali duniani kote.
Afghanistan walitumia $ Trillion 2.3 kwa miaka 20 sawa na $million 300 kila siku.
Usihofu kuhusu pesa, wewe sikitikia tu maisha yanayopotea kwa sababu ya homicidal dictator wa Russia.
Pesa zao Zinatoka kwa shetani ndio maana huwa hazina mafanikio huko wanakozipeleka.
 
Hilo lisikusumbue, walipa kodi wa Marekani hupiga kura kila baada ya miaka miwili kuchagua wabunge kuwawakilisha katika kupanga matumizi ya kodi zao.
Marekani inatumia vibaya fedha za walipa kodi, kuisaidia nchi ya watu wasio na tija.
 
Hilo lisikusumbue, walipa kodi wa Marekani hupiga kura kila baada ya miaka miwili kuchagua wabunge kuwawakilisha katika kupanga matumizi ya kodi zao.
Hii sheria ya kufanya uchaguzi kila baada miaka miwili ifutwe na waache kuchezea pesa za walipa kodi.
 
Back
Top Bottom