Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama sharifa anafaa. Japo muislam 1 awepo top ya chadema ktk mabaraza.Huyu Mwana mama ni jasiri hasa ,mwanamke mwenye misimamo isiyoyumbishwa ninamfahamu vizuri sana .
Acha mambo ya UdiniMama sharifa anafaa. Japo muislam 1 awepo top ya chadema ktk mabaraza.
Huyu Mama kaongea vizuri sana wajumbe mpeni kura zake anatoshaView attachment 3201919
View attachment 3201920
Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,
Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU.
BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
Ni wazo zuri. Sharifa ameongoza Bawacha katika kipimdi kigumu bila kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti. Hilo la dini lisipuuzwe maana diversity ni muhimu sana.Mama Sharifa anatosha. Angalau muwekeni japo muislam 1 top ya chadema
Simba kama SimbaView attachment 3201919
View attachment 3201920
Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,
Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU.
BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
Kwanini hakuthibitushwa?Ni wazo zuri. Sharifa ameongoza Bawacha katika kipimdi kigumu bila kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti. Hilo la dini lisipuuzwe maana diversity ni muhimu sana.
Amandla...
Sijui.Kwanini hakuthibitushwa?
Mkuu ishu sio dini, hv unaachaje kumchagua mtu mwenye uwezo mkubwa tena wa wazi kbs kwa kigezo tu cha dini?!Mama Sharifa anatosha. Angalau muwekeni japo muislam 1 top ya chadema
Wote wawe wa dini moja tuMkuu ishu sio dini, hv unaachaje kumchagua mtu mwenye uwezo mkubwa tena wa wazi kbs kwa kigezo tu cha dini?!
Itatuchelewesha hiyo
Ndio niagieni tenaBowe ndio basi tenaaa
Sijui haioni aibu inayomsubiri siku za mbeleni? Ningekuwa mimi ndiye Mbowe ningekaa mbali na huu uchaguzi na kubakia kama mshauri wa chama tuMbowe kuepuka aibu hata kama amepokea hizo hela kutoka kwa Samia, hajachelewa
kuficha aibu yake kwa kujitoa kwenye kugombea!!
Kama watu wake wa karibu wakina Lema wanamshauri asigombee
kwanini hasikii? Kweli wahenga walisema SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA😳😳
NakaziaHuyu Mama jamani ni jasiri pengine zaidi hata ya Lissu,
Kura yangu Simba anayo,✓
Sharifa ni chawa wa Mbowe, ni hivi kama haupo Team Lissu wewe ni fisadi tu. Ila akimuendorse Lissu atashinda asubuhi kabisa.Mama Sharifa anatosha. Angalau muwekeni japo muislam 1 top ya chadema