Pre GE2025 Spika wa Bunge la Wananchi Selestine Simba atangaza kumuunga mkono Lissu huku akitangaza kugombea Uenyekiti BAWACHA Taifa ili kujenga CHADEMA mpya

Pre GE2025 Spika wa Bunge la Wananchi Selestine Simba atangaza kumuunga mkono Lissu huku akitangaza kugombea Uenyekiti BAWACHA Taifa ili kujenga CHADEMA mpya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na siku ya uchaguzi mbowe akishindwa apewe dk 2 tu ya kuongea asepe asilete habari nyingi katusumbua Sana. Atajifanya kutoa hotuba ndefu. Hatumtaki.
 
Hivyo ndivyo Watanzania wote wanatakiwa kuwa for the love of their nchi.Sasa kuna ngedere huwa wanawaona wakinzani wao kisiasa na kimitizamo kama maadui.
 
Mama Sharifa anatosha. Angalau muwekeni japo muislam 1 top ya chadema
Ni wazo zuri. Sharifa ameongoza Bawacha katika kipimdi kigumu bila kuthibitishwa kuwa Mwenyekiti. Hilo la dini lisipuuzwe maana diversity ni muhimu sana.

Amandla...
 
Mama Sharifa anatosha. Angalau muwekeni japo muislam 1 top ya chadema
Mkuu ishu sio dini, hv unaachaje kumchagua mtu mwenye uwezo mkubwa tena wa wazi kbs kwa kigezo tu cha dini?!
Itatuchelewesha hiyo
 
Yamekuwa hayo tena!
20250115_163558.jpg
 
Mbowe kuepuka aibu hata kama amepokea hizo hela kutoka kwa Samia, hajachelewa
kuficha aibu yake kwa kujitoa kwenye kugombea!!
Kama watu wake wa karibu wakina Lema wanamshauri asigombee
kwanini hasikii? Kweli wahenga walisema SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA😳😳
Sijui haioni aibu inayomsubiri siku za mbeleni? Ningekuwa mimi ndiye Mbowe ningekaa mbali na huu uchaguzi na kubakia kama mshauri wa chama tu
 
Mama Sharifa anatosha. Angalau muwekeni japo muislam 1 top ya chadema
Sharifa ni chawa wa Mbowe, ni hivi kama haupo Team Lissu wewe ni fisadi tu. Ila akimuendorse Lissu atashinda asubuhi kabisa.
 
Back
Top Bottom