..Msikilizeni Spika wa Bunge akiwashambulia Chadema.
..Tatizo langu mimi liko katika madai aliyoyatoa.
..Kwa maoni yangu ni kwamba CCM wamejizima data kuhusu matatizo ya kisiasa ya Tanzania.
..Chadema hawana silaha, na hawahusiki na utekaji, utesaji, na mauaji.
..Kwa kauli hii ya Spika Zungu sioni uelewa na utayari wa CCM kukaa na wenzao kutatua mgogoro uliopo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=FGcSxTXXE9M