Spika wa Bunge Mussa Azzan aishambulia Chadema waziwazi. Je, madai yake ni sahihi, au amejizima data?

..Msikilizeni Spika wa Bunge akiwashambulia Chadema.

..Tatizo langu mimi liko katika madai aliyoyatoa.

..Kwa maoni yangu ni kwamba CCM wamejizima data kuhusu matatizo ya kisiasa ya Tanzania.

..Chadema hawana silaha, na hawahusiki na utekaji, utesaji, na mauaji.

..Kwa kauli hii ya Spika Zungu sioni uelewa na utayari wa CCM kukaa na wenzao kutatua mgogoro uliopo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FGcSxTXXE9M

mkajizungumzishe na wala UBWBWA, mnajifanya viongozi wakati hata hamjui mlichaguliwa kwa KURA NGAPI?
 
Ukiona haya na kusikia hayo, ujuwe MWISHO WAO WA KUFISADI, UUAJI, UTEKAJI NA UNYANYASAJI UNAFIKIA MWISHO!
 
Sio umri.
Tatizo ni elimu, elimu, elimu na utumwa wa kiakili.
Huyo kutokana kukosa akili na elimu, maisha yake yote mpaka kufikia hapo ni utapeli wa "kiCCM".
Kwa hiyo lazima apambane kulinda mfumo uliomuweka hapo alipo.
U-CCM umemjaa hadi anashindwa kuitendea haki busara na maono(sijui hivyo vitu anavyo!?).
 
..Msikilizeni Spika wa Bunge akiwashambulia Chadema.

..Tatizo langu mimi liko katika madai aliyoyatoa.

..Kwa maoni yangu ni kwamba CCM wamejizima data kuhusu matatizo ya kisiasa ya Tanzania.

..Chadema hawana silaha, na hawahusiki na utekaji, utesaji, na mauaji.

..Kwa kauli hii ya Spika Zungu sioni uelewa na utayari wa CCM kukaa na wenzao kutatua mgogoro uliopo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FGcSxTXXE9M

Kama walitaka washiriki uchaguzi mbona waliwafungia Chama kwa nwaka mzima...!!? Halafu anakuja hapa kudai waChadema waliweka mpira kwapani.

Mpina mwenyewe walimfanyia rafu.
 
Huyu Mzee bwana anaamini wata
..Msikilizeni Spika wa Bunge akiwashambulia Chadema.

..Tatizo langu mimi liko katika madai aliyoyatoa.

..Kwa maoni yangu ni kwamba CCM wamejizima data kuhusu matatizo ya kisiasa ya Tanzania.

..Chadema hawana silaha, na hawahusiki na utekaji, utesaji, na mauaji.

..Kwa kauli hii ya Spika Zungu sioni uelewa na utayari wa CCM kukaa na wenzao kutatua mgogoro uliopo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FGcSxTXXE9M

nzania wa Leo ni wa mwaka 47 wewe Mzee wewe
 
Ile option ya summarize with AI mbona siioni kwenye huu Uzi.

Sijatazama video ila najua kaongea shudu tu
 
Hata CHADEMA isiwepo vaccum must be filled. Dawa ni kuboresha shughulikia madhaifu rekebisha uone kama kuna atakaye kupinga. Utapata watetezi lukuki wa kukutea bila gharama.
Huu ni ujumbe kwa CCM.

Janja janja za uchaguzi (ni mfabo mmoja) zinanikera kwelikweli, kuipenda CCM yataka moyo wa ajabu.

Bila shaka Nyerere angekuwepo leo angekubaliana nami. (Utauliza who is Nyerere by the way?)

Ni kwasababu pande zote zina mnukuu, bila shaka anaweza kuwa refference nzuri hata kama siyo kwa 100%
 
Ccm ni mpaka ife, mambo mengine ndo yaende, wabunge wengi tu huona wao wanaiwakilisha ccm na wanamuwakilisha mwenyekiti wao
 
..Msikilizeni Spika wa Bunge akiwashambulia Chadema.

..Tatizo langu mimi liko katika madai aliyoyatoa.

..Kwa maoni yangu ni kwamba CCM wamejizima data kuhusu matatizo ya kisiasa ya Tanzania.

..Chadema hawana silaha, na hawahusiki na utekaji, utesaji, na mauaji.

..Kwa kauli hii ya Spika Zungu sioni uelewa na utayari wa CCM kukaa na wenzao kutatua mgogoro uliopo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FGcSxTXXE9M

Ukimwona Zungu unamwona tu ni mtu asiye na akili. Sometimes hawa mtawaonea tu. Huyu kichwani ni empty kabisa
 
..Msikilizeni Spika wa Bunge akiwashambulia Chadema.

..Tatizo langu mimi liko katika madai aliyoyatoa.

..Kwa maoni yangu ni kwamba CCM wamejizima data kuhusu matatizo ya kisiasa ya Tanzania.

..Chadema hawana silaha, na hawahusiki na utekaji, utesaji, na mauaji.

..Kwa kauli hii ya Spika Zungu sioni uelewa na utayari wa CCM kukaa na wenzao kutatua mgogoro uliopo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FGcSxTXXE9M

hizi propaganda hazina nguvu tena,ccm inashindwa kutambua kuwa WAKATI UKUTA,enz zakuwadanaganya wananchi zimekwisha,watanzania wanajua ADUI yao ni nani ni suala la muda tu.
 
..Msikilizeni Spika wa Bunge akiwashambulia Chadema.

..Tatizo langu mimi liko katika madai aliyoyatoa.

..Kwa maoni yangu ni kwamba CCM wamejizima data kuhusu matatizo ya kisiasa ya Tanzania.

..Chadema hawana silaha, na hawahusiki na utekaji, utesaji, na mauaji.

..Kwa kauli hii ya Spika Zungu sioni uelewa na utayari wa CCM kukaa na wenzao kutatua mgogoro uliopo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FGcSxTXXE9M

Kitamlamba kama Ndugai.
 
Back
Top Bottom