Spika wa Bunge Tulia Ackson anashangaa kwanini hadi leo polisi bado inamshikilia Kada wa CHADEMA Kombo Mbwana

Ukiingia upande ule, inatakiwa uweke elimu pembeni Mkuu.
Upande ule elimu si kipaumbele.
Hebu fanya utafiti kwa wasomi waliojiunga upande ule, uone kama elimu yao inatija.
Amegusia Sheria hapo hapo anawasgangaa polisi wakati Ile Sheria ya TWISS walipiitisha wao, kwamba jamaa wale wanaweza mteka,kumzuia yeyote na wasishtakiwe popote!
 
Yale yalee ya magu kuja kutulalamikia wananchi na kutamani angekuwa IGP! Nchi ina mazingaombwe hii๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ
 
Anajisafisha?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nchi hii kuanzia viongozi hadi wananchi wanashangaa, kila mtu anashangaa.
 
Bongo bhana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ